Mficha maradhi kifo humuumbua, naomba ajria

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
Habari zenu humu Wana jf , naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli,nakosa kula ,msaada wenu wa Jf ,Sina pakukimbilia zaidi ya humu

Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k nafanya

0755797531

Mshana Jr
 
Ungeishia STD 7 leo ungekuwa na nyumba, mke, watoto na unasaidia wengine.
Sasa ona uko tegemezi hata la saba anakutuma.
Elimu ni upotezaji wa muda kàma huna connection.
 
Back
Top Bottom