Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nakumbuka nilikuwa darasa la nne, miaka kadhaa iliyopita, Mwalimu wetu wa Kiswahili ambaye alikuwa jinsia ya Kike,alituambia kuwa kila Mwanafunzi ataje Methali anayoijua au Kujifunza, na Unasema Nani kakufundisha. Sitasahau siku ile niliponyoosha mkono kwa kujiamini Kabisa na Kusema, Mficha Uchi.....!!!????, Darasa zima wakanigeukia mimi, huku wamekodoa macho kodooo !!!, Mwalimu akanifokea sana, kwamba Pumbafu sana, acha kutuletea Methali za kijinga. Sijui kosa langu lilikuwa Nini ??. Wakuu nilikuwa na kosa hapo ??.