Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Alikuwa naye, ila alikuwa ni single Mother.huyo mwalimu wako alikuwa hana mtoto nini?? alikuwa anaringa kuzaa labda
Duh !!,Sasa si ni methali tu Mkuu !!,alijihisi vibaya Mwenyewe.Huyo mwalimu alivuta hisia ya uchi wake akaona umemdhalilisha kweupe
OK !!, Sasa siunajua umri ule unajifunza kila kitu unachokiona na kusikia bila kuchuja .Kama ni darasa la nne mwalimu alikuwa sahihi kabisa.
Japo tu alitakiwa akueleweshe maana yake.
Kijijini ukitaja neno uchi ni kama umesema K
Nilikuwa nimesoma kwenye daftari la jamaa yangu tuliyekuwa tunakaa dawati Moja.aliekufunza methali hiyo ukiwa na umri huo,ni nani?!!
Wengine wanabana mwanzo mwisho.Methali zingine bana,mbona huo uchi unafichwa kila siku watu wanautafuta wanaupata.
Na wewe ilikuwa ni kwasababu ya methali km hii ??.HATA MIMI YALINIKUTA HAYO ILA NILIKUWA DARASA LA SABA.
NAMKUMBUKS MWALIMU WANGU MPENDWA AKIITWA MWALIMU KANJI MKAZI WA KURASINI
YALIISHA ILA CHA MOTO NILIKIONA
NdiyoNa wewe ilikuwa ni kwasababu ya methali km hii ??.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwelHuyo mwalimu alivuta hisia ya uchi wake akaona umemdhalilisha kweupe
NDIO MAANAAlikuwa naye, ila alikuwa ni single Mother.