sasa mbona wapo weeeeeeeeeeengi wanaziachia na tunaziona lakini hawazai hao 'watoto'
ohooo hapo sasa unavuka mipaka!
hebu achia yako tuone.....
Inaamaana...
Ukitaka kuzaa mtoto...
Kwanza muonyeshe mtu uchi wako...
Usiufiche fiche??
Umeelewa????
ooooooooooh, lkn embu inyambue basi maneno yake kwa undani? mbona sikusemea 'mtaka cha uvunguni sharti ainame'? si ni kweli nilazime uiname hata kiduchu! sasa hii mficha uchi hazai imekaaje?oya!!
vipi kijana? ni methali hiyo!! inaweza tumika maeneo mbali mbali kutokana na mazingira ya mazungumzo!!
kwa mfano: kama unataka kitu, fanya bidii, na kuwa "practical", usikae ndani tuu!!
maana yako pia ina leta maana ila wengi wanachukulia msemo huu kama methali!!