Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Hivi huyu jamaa mbona haeleweki siku hizi anajilalamisha sana....halafu ndugu yetu yule anatumwa maana kaja kasi na viclip vyake vya kujidai eti anataka kuuwawa....hivi who z he by the wei....kinachonishangaza huyu jamaa aliwahi kuimba nyimbo inayoitwa DINI NA SIASA akawasihi sana watu wasichanganye haya mambo ile cha kushangaza ndugu yetu huyu sasa hivi kazama huko asee.....anatafuta kick au...mwanbieni aache utoto wa kizamani na vitrick vyake vya ajabu....