Haeleweki huyo mtoaji mada.Kakutendea nini Munishi
Ulitaka kusema nini kwani?
Hivi huyu jamaa mbona haeleweki siku hizi anajilalamisha sana....halafu ndugu yetu yule anatumwa maana kaja kasi na viclip vyake vya kujidai eti anataka kuuwawa....hivi who z he by the wei....kinachonishangaza huyu jamaa aliwahi kuimba nyimbo inayoitwa DINI NA SIASA akawasihi sana watu wasichanganye haya mambo ile cha kushangaza ndugu yetu huyu sasa hivi kazama huko asee.....anatafuta kick au...mwanbieni aache utoto wa kizamani na vitrick vyake vya ajabu....
Msimalaumu mtoa mada, mimi naamini mtu akiwa JF pia ni.mfuatiliaji wa mitandao mingine. Faustine Munishi ametoa video nyingi za.kuikosoa serikali ya TZ kwamba haitendeki haki. Pia amelalamika sana ktk hizo video kwamba wanataka kumuua. Nenda ka "gugo" utapata habari hizo. Na amealikwa na Msama ktk Tamasha la Pasaka Jumapili April 5 uwanja wa Taifa, ngoja tuone kama atakuja. Mwaka 1979 alikua mi msanii wa kuchora na hata shuleni kwetu Mwananyamala B Primary (HeadTeacher Mzee Robert Maganga) alikuja kutuchorea lebo kwenye mifuko ya mashati. Ndiye Munishi ninayemfahamu kwa uchache
Mkuu hebu punguza munkari halafu nyoosha maelezo kwa kufafanua vizuri ili tuelewe mantiki ya hoja yako.
Mkuu hiki ndicho tulichokuwa tunataka, atoe maelezo yanayoeleweka. Kama yeye kaona video au kasikia maneno ya Munishi kwanini asiyaandike walau kwa ufupi ili tujue ni nini kinaendelea?
Ameandika kwa ufupi sana na kwa maneno ambayo ni ngumu kueleweka, sasa alitegemea watu wamjibu nini!?
Msimalaumu mtoa mada, mimi naamini mtu akiwa JF pia ni.mfuatiliaji wa mitandao mingine. Faustine Munishi ametoa video nyingi za.kuikosoa serikali ya TZ kwamba haitendeki haki. Pia amelalamika sana ktk hizo video kwamba wanataka kumuua. Nenda ka "gugo" utapata habari hizo. Na amealikwa na Msama ktk Tamasha la Pasaka Jumapili April 5 uwanja wa Taifa, ngoja tuone kama atakuja. Mwaka 1979 alikua mi msanii wa kuchora na hata shuleni kwetu Mwananyamala B Primary (HeadTeacher Mzee Robe
rt Maganga) alikuja kutuchorea lebo kwenye mifuko ya mashati. Ndiye Munishi ninayemfahamu kwa uchache
Huyu mtu yupo Kenya na alihamishwa bongo ww unawashwa na nn?
Halafu haueleweki juha.