MFLEX SOUNDS: Wangapi mnamjua huyu msanii?

MFLEX SOUNDS: Wangapi mnamjua huyu msanii?

Mpondoshilla

Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
36
Reaction score
132
Kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda mziki wenye vionjo vya mziki wa old school ila umetengenezwa kisasa
Kwa huyu msanii ndo mahala pake ana nyimbo zaidi ya 200.

Ila wa kwangu bora wa muda wowote ni, in my arms.
 
Back
Top Bottom