Mfugaji wa kuku, kanga, na bata aina zote tukutane hapa

Encysis Inc

Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
87
Reaction score
118
Hapa tutajikita zaidi kwa Kuku na Kanga wa Kienyeji. Kwa maana hiyo ni vema tubadilishane maarifa kwa mambo yafuatayo

1. NAMNA BORA YA KUCHGUA MBEGU NZURI

2. NAMNA YA KUZALISHA CHAKULA MWENYEWE

(a)Hapa naomba watu tujaribu kubadilishana uzoefu namna gani bora zaidi ya kuweza kuzalisha vyakula vyenye lishe bora inayohitajika kwa ukuaji bora wa kuku. Kuna taarifa zinazidi kusambaa kwa kasi kuwa kuna uwezekano mkubwa vyakula vy kununua vinawadhuru kuku tarartibu hali inayopelekea uanze tena kupata changamoto ya kununua dawa kuwatibia ambapo kama utazembea kuku wanakufa (Haijathibitika)

(b) Aina za vyakula vinavyowafaa ndege hawa naa namna ya kutengeneza vyakula mbadala kama wadudu, funza, hydroponicc folder n.k

3. NAMNA BORA YA ULISHAJI
Ratiba mzuri ya mzunguko wa ulishaji na aina ya vyakula pia viainishwe kwa ndege hawa tangu siku 1

4. CHANJO NA TIBA ZA MAGONJWA
Hapa ni muhimu sana tupate na zile tiba mbadala

5. MASOKO YA NDANI NA NJE YA NCHI

6. NAMNA YA KUWALE VIFARANGA WA SIKU 1 HADI WIKI 4

NAWASILISHA, MENGINE NAOMBA TUONGEZEE
 
Hapa tutajikita zaidi kwa Kuku na Kanga wa Kienyeji. Kwa maana hiyo ni vema tubadilishane maarifa kwa mambo yafuatayo

1. NAMNA BORA YA KUCHGUA MBEGU NZURI

2. NAMNA YA KUZALISHA CHAKULA MWENYEWE

(a)Hapa naomba watu tujaribu kubadilishana uzoefu namna gani bora zaidi ya kuweza kuzalisha vyakula vyenye lishe bora inayohitajika kwa ukuaji bora wa kuku. Kuna taarifa zinazidi kusambaa kwa kasi kuwa kuna uwezekano mkubwa vyakula vy kununua vinawadhuru kuku tarartibu hali inayopelekea uanze tena kupata changamoto ya kununua dawa kuwatibia ambapo kama utazembea kuku wanakufa (Haijathibitika)

(b) Aina za vyakula vinavyowafaa ndege hawa naa namna ya kutengeneza vyakula mbadala kama wadudu, funza, hydroponicc folder n.k

3. NAMNA BORA YA ULISHAJI.
Ratiba mzuri ya mzunguko wa ulishaji na aina ya vyakula pia viainishwe kwa ndege hawa tangu siku 1

4. CHANJO NA TIBA ZA MAGONJWA.
Hapa ni muhimu sana tupate na zile tiba mbadala

5. MASOKO YA NDANI NA NJE YA NCHI

6. NAMNA YA KUWALE VIFARANGA WA SIKU 1 HADI WIKI 4

NAWASILISHA. MENGINE NAOMBA TUONGEZEE
 
Mwanzisha mada umeuliza maswali Sasa tunangoja atakayejibu?
 
Back
Top Bottom