Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuona huyo na wengine wengi wanaohama ila wa kwetu kuhama ni wanaona wataenda kufeli
Tokeni mkatafute msijifungie mahali pamoja tu
Hama kama unaweza
0754 222 013, Wasiliana na huyo ndugu utapata hitaji lako. mwambie Mwenyekiti TAGOFA kakupatia. karibu sana ndugu.Wapi mbegu za Napier grass zinapatikana . Mm nahitaji
Mbegu ninazo karibu.Wapi mbegu za Napier grass zinapatikana . Mm nahitaji
..Majani ya Super Napier Pakchong
Kweli kabisa mkuu,..nadhani wasomi wengi zaidi wanatakiwa kuingia ktk kilimo.
Unacho sema ni kweli lakini nikuhakikishie kitu kimoja hao wasomi sio wakuwategemea sana maana hawataki kujishughulisha kabisaa na shamba linakuhitaji kulifikia kwa njia mbali mbali, nakushauri hata kama unampata mtaalamu au msomi kushirikiana nae jitahidi kuwekeza muda wako ktk ukaguzi wa kila mara na wa makini sana.Kweli kabisa mkuu,
Tena kama wanakuwa na kikundi na kuwekeza wakiwa na taaluma yao
Naona watu wengine wanawekeza kwenye ufugaji na kilimo huku wakiajiri bwana mifugo na kuwalipa vizuri sana na wengine wakiingia ubia
Nataka nijikite hivyo niingize hela kwenye ufugaji wa kisasa huku kilimo kiasi na wataalamu wakinisaidia kwa vitendo
Watu wana taaluma ya shamba halafu yuko mjini ni maajabu sana
Kama unataka V8 liko shamba
Vyema sana ndugu naomba uongeze tangazo lako unapatikana wapi na unauzaje kwa kg, na unaweza kutuma kwa aliye mbali na mahali ulipoko?Mbegu ninazo karibu.
0756625286.View attachment 2522147
Asante sana mkuu,Unacho sema ni kweli lakini nikuhakikishie kitu kimoja hao wasomi sio wakuwategemea sana maana hawataki kujishughulisha kabisaa na shamba linakuhitaji kulifikia kwa njia mbali mbali, nakushauri hata kama unampata mtaalamu au msomi kushirikiana nae jitahidi kuwekeza muda wako ktk ukaguzi wa kila mara na wa makini sana.
Unacho kisema kipo na tuna kiishi, kuna saa uanjiuliza nani aliwatuma kwenda kusomea hiyo taaluma, kuna majibu ya hovyo unayapata toka kwenye vet apo wakati unahitaji huduma mpaka unajiuliza huyu ni wa wanyama au vipi. Na ndio maana ina fika mahali unajitahidi mfugaji baadhi ya mambo unajifunza kufanya mwenyewe maana ukiwategemea utajuta kufuga 🤷♂️Asante sana mkuu,
Unajua wabongo ndio watu wavivu Africa mimi naona tena ujanja mwingi
Angalia wafugaji Botswana, Uganda, Zimbabwe na hata SA kwenye YouTube
Wanashirikiana na waganga wa mifugo na kuwaamini kwani ukiamua kufanya mwenyewe kuna wenye roho mbaya watawachoma sumu mifugo au utauziwa madawa feki ambayo yatamaliza mifugo na hata mimea
Najifunza mengi sana kabla sijaingia kichwa kichwa
Kweli itabidi niwe hapo hapo au kwa ukaribu sana [emoji120]