Mkuu inabidi hata mwanao mmoja unampeleka asomee ili aje baadae kushika usukaniUnacho kisema kipo na tuna kiishi, kuna saa uanjiuliza nani aliwatuma kwenda kusomea hiyo taaluma, kuna majibu ya hovyo unayapata toka kwenye vet apo wakati unahitaji huduma mpaka unajiuliza huyu ni wa wanyama au vipi. Na ndio maana ina fika mahali unajitahidi mfugaji baadhi ya mambo unajifunza kufanya mwenyewe maana ukiwategemea utajuta kufuga [emoji2369]
siyo .Haya majani ndio Yale Moshi yanaitwa Makatamala?
Shukran mkuu,nimefanyia kazi ushauri wako.Vyema sana ndugu naomba uongeze tangazo lako unapatikana wapi na unauzaje kwa kg, na unaweza kutuma kwa aliye mbali na mahali ulipoko?
Naomba pic ya Makatamala mkuu.siyo .
Makatamala siyajui, Super napier ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini Thailand, zimeingia Afrika miaka ya karibuni, Kenya ndiyo wanaolima zaidi, Tanzania kuna wafugaji wachache wanazo nikiwemo mimi.Naomba pic ya Makatamala mkuu.
OK...basi Makatamala yana fanana na hayo majani na huko Moshi wanalishia mifugo...Makatamala siyajui, Super napier ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini Thailand, zimeingia Afrika miaka ya karibuni, Kenya ndiyo wanaolima zaidi, Tanzania kuna wafugaji wachache wanazo nikiwemo mimi.
Hao mbuzi mbona kama wako overloaded..kwa kweli sijaona mfugaji wa mbuzi wa maziwa anayefanya vizuri kama huyu mfugaji aliyeko Uganda. fuatilia program hapo chini.
au unamaanisha Guatemala grass?OK...basi Makatamala yana fanana na hayo majani na huko Moshi wanalishia mifugo...
mimi pia nimeyafananisha ja guatemala,asante kwa ufafanuziau unamaanisha Guatemala grass?
Kama ni hivyo hayo siyo Guatemala ila yanafanana.
Super Napier yanakua kwa haraka, yana kiwango kikubwa cha protini(18%) na yanatoa malisho mengi.
hapo kwenye maziwa ya mbuzi umenigusa mkuu😂,harufu yake uwiiTatizo bongo Kuna vitu vimeshindwa kufanya vizuri kibiashara, vimebaki kwa watu wachache ndio wanavitumia na kusifia ni vitamu balaa, lakini hauvikiti kwenye hoteli za public.
1. Maziwa ya mbuzi ( wengi wanasema Yana ladha na harufu mbaya a.k.a shombo)
2. Nyama ya Bata wa aina zote, huizikuti kama menyu za mahotelini au street foods hivyo ukifuga sio kama kuku ambao utawakuta Kila sehemu hivyo utakisa soko.
3. Nyama ya Sungura, wengi wanamwona kama paka, wengine kama jamii ya nguruwe, wengine wanamwonea huruma kumchinja na kula nyama yake kwani ni mpole na myenyekevu hivyo kwao kumchinja ni kama kumuonea
Ndugu zangu napenda kuwakumbusha Mbegu bora kabisa za Mbuzi Red Kalahare toka south Afrika bado wanapatikana wapo Mavuno farm. 0713 282 715/ 0713 544 411. piga hizo number utapata maelezo ya jinsi ya kupata Mbuzi bila shaka kabisa, karibuni sana MAVUNO FARM. Ingia Instagram ya mavunofarm utaona shamaba letu linavo shamiri.
Tatizo bongo Kuna vitu vimeshindwa kufanya vizuri kibiashara, vimebaki kwa watu wachache ndio wanavitumia na kusifia ni vitamu balaa, lakini hauvikiti kwenye hoteli za public.
1. Maziwa ya mbuzi ( wengi wanasema Yana ladha na harufu mbaya a.k.a shombo)
2. Nyama ya Bata wa aina zote, huizikuti kama menyu za mahotelini au street foods hivyo ukifuga sio kama kuku ambao utawakuta Kila sehemu hivyo utakisa soko.
3. Nyama ya Sungura, wengi wanamwona kama paka, wengine kama jamii ya nguruwe, wengine wanamwonea huruma kumchinja na kula nyama yake kwani ni mpole na myenyekevu hivyo kwao kumchinja ni kama kumuonea
hapo kwenye maziwa ya mbuzi umenigusa mkuu😂,harufu yake uwii
Ndiyo mkuu.Hawa ndio wale mbuzi maziwa ltr 5000?
Sahihi kabisa, maziwa ya mbuzi sinywi hata kwa dawa labda kwa kuandikiwa na daktari,nyama yake nakula kichizi.Tatizo bongo Kuna vitu vimeshindwa kufanya vizuri kibiashara, vimebaki kwa watu wachache ndio wanavitumia na kusifia ni vitamu balaa, lakini hauvikiti kwenye hoteli za public.
1. Maziwa ya mbuzi ( wengi wanasema Yana ladha na harufu mbaya a.k.a shombo)
2. Nyama ya Bata wa aina zote, huizikuti kama menyu za mahotelini au street foods hivyo ukifuga sio kama kuku ambao utawakuta Kila sehemu hivyo utakisa soko.
3. Nyama ya Sungura, wengi wanamwona kama paka, wengine kama jamii ya nguruwe, wengine wanamwonea huruma kumchinja na kula nyama yake kwani ni mpole na myenyekevu hivyo kwao kumchinja ni kama kumuonea
Maziwa mbuzu yanashida gani?Sahihi kabisa, maziwa ya mbuzi sinywi hata kwa dawa labda kwa kuandikiwa na daktari,nyama yake nakula kichizi.
Sungura naanzaje kumla?vitu vingine Ni Uroho na ushenzi tu.White meats ziko kibao tu.Yaani unamkamata kabisa sungura na kumchinja?bloody fuckin' kabisa.