Mfugale amuokoa Kamwelwe kutumbuliwa

Anasumbuliwa na njaa tu
In God we Trust
 
Ili aweze kuitendea haki profession yake P hawezi kuwa na upande, na siku akianza kuwa na upande hatakuwa na tofauti na mmiliki WA gazeti la tanzanite. Acha azingatie profession yake na ailinde leo mtamchukia kesho mtamshangilia ili mladi Jembe liitwe Jembe na Shoka liitwe Shoka na si panga.
Je mnaupenda uandishi uliopo Tanzanian kwa sasa mahali panapotakiwa pasemwe A waandishi wanalazimisha iwe X na wote mnalazimishwa muamini hivyo? Wako wapi walio isaliti fani yao na kuwa na upande heshima yao IPO? ni wengi tu ITV na wenzake.
Pasco ili ulinde heshima yako baki hapo hapo kwa anaejua Miiko ya uandishi wa habari wala hawezi kukulaumu. Tunao kulaumu ni sisi tusiojua lolote kuhusu ueledi katika fani ya uandishi tunataka utufurahishe wakati tunajua unasema uongo.
 

Yauane huko

Bunch of hasara tupu!
 

Hakuna mtu anayefahamu utendaji wa JPM. Ametembea eneo la daraja oops eneo ambako culvet ilisombwa na kujiridhisha kwamba watendaji wake waliopewa dhamana walikuwa ni wazembe na kutoa onyo kali. Usiwe na shaka na JPM ni chuma cha pua na vile vile anafahamu mbinu zote zinazotumika.
 
Kamwele hivi ana miaka mingapi , au anaumwa ?
 
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Hakuna lisolowezekana....dar...morogoro....Dodoma ...iringa...mbeya....Malawi/Zambia......tehtehteh...distance does not matter and even costs...tehtehteh
 
Hakuna lisolowezekana....dar...morogoro....Dodoma ...iringa...mbeya....Malawi/Zambia......tehtehteh...distance does not matter and even costs...tehtehteh

Bidhaa zinapitia bungeni kusainiwa na waheshimiwa.
 
Mfugale akimuona Mh. Waziri Mkuu ataonyesha heshima kubwa sasa, maana juzi alionyesha kupingana na PM alipoenda mara ya pili alipotaka kujua kwnn Eng wa TANROAD mkoa bado hajaondolewa.
 
Zambia na Malawi kumbe zinapitia Dodoma ndio najua leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro, naona kama kawaida yako kwenye nyuzi za mkuu huwaga haubaki nyuma lazima uchangie uweke udambwiudambwi kidogo lkn pole sana kwa siku tulizonazo na ukicheki kina Mashinji wako huko kwenu sidhani kama utapata hata ubalozi wa nyumba kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…