Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,467
Kamwele hivi ana miaka mingapi , au anaumwa ?
Mfugale akimuona Mh. Waziri Mkuu ataonyesha heshima kubwa sasa, maana juzi alionyesha kupingana na PM alipoenda mara ya pili alipotaka kujua kwnn Eng wa TANROAD mkoa bado hajaondolewa.
Kwa asiekuelewa anaweza akaona umeongea upuuziKutumbua hio wizara hapo ni sawa na kutumbua bashite,hapi,chalamila,mnyeti,muro au sabaya.Dabo standard
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Ndiyo, haswa mazao ya chakula kutoka mikoa ya kaskazini na mizigo toka Rwanda na Burundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nitachangia kukujibu, hata kama yeye hajakupa jibu.Mkuu @paskal hivi leo nikuulize mbele ya hadhara ya Jf
Wewe ni mwanaharakati wa ccm au chadema au neutral maana ukija kwa chadema huwa unaponda sana ccm na sera zake,ukija tena chadema huwa unawaponda...
That is the past, unauliza kama inaweza kutolewa wakati imetolewa na umemsikia mwenyewe kwa masikio yako!.Hii Statement inaweza kutolewa kweli na kiongozi wa nchi dhidi ya watendaji wake publicly ?View attachment 1390487
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako siyo sahihi kutaka kujua mchangiaji Paskali yuko chama gani kwa kuwa kuna siku anaiponda CCM na siku nyingine anaiponda CHADEMA. Hivyo ndivyo mchangiaji mzuri anapaswa kuwa: unatafakari jambo na kutoa maoni yako kufuatana na vipi unaona mambo yanapaswa kwenda. Siyo kwa kuwa uko CHADEMA basi kila kitu kinachofanywa na CHADEMA ni kizuri na kila kitu kinachofanywa na CCM ni kibaya. Swali lako limedhihirisha kabisa kwa nini Rais Magufuli analaumiwa kila kukicha. Najiuliza hivi ni kweli hakuna kitu kizuri alichofanya mtu huyu tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita? Swali lako limenipa jibu kwamba analaumiwa kwa kuwa tu yuko chama tofauti na mchangiaji; siyo kwa sababu amefanya kitu kibaya. Tubadilike Watanzania: tukosoe panapokuwa na mabaya na tuunge mkono panapokuwa na mazuri.Mkuu paskal hivi leo nikuulize mbele ya hadhara ya Jf
Wewe ni mwanaharakati wa ccm au chadema au neutral maana ukija kwa chadema huwa unaponda sana ccm na sera zake,ukija tena chadema huwa unawaponda...
Wewe ni mtu gani?
Mwana siasa mlengwa gani?
Sitaki ku tag mada zako hapa ukinilazim nifungue uzi nitafungua ila hebu tufahamishe hapa mkuu..
Naheshim maoni yako
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Bidhaa zinapitia bungeni kusainiwa na waheshimiwa.
Kwa miaka mingi walaji wakubwa wa dagaa Mwanza ni Congo, Zambia na Malawi. Madereva wengi wa maroli walipendelea kupitia njia ya Mwanza-Dodoma-Moro-Mbeya kuliko kupitia ya Dodoma-Iringa kwa kuogopa usumbufu wa Nyang'oro.
Ndio maana yake, this is positives, ingekuwa zamani ni fire on the spot.Unataka kusema kwamba ''Ona sasa na hata anaweza akaonya na akasamehe''... Si ndio mkuu ?
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Mkuu Ng'wanamalundi, naunga mkono hoja, na hii ndio kitu kinachoitwa kuwa mkweli daima, rais Magufuli ni binadamu na sio malaika, no one is perfect, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu wengine wote, hivyo pamoja na mabaya yake yote, pia ana mazuri yake, tumkosoe kwa mabaya yake lakini kwenye mazuri, tumpongeze.Swali lako siyo sahihi kutaka kujua mchangiaji Paskali yuko chama gani kwa kuwa kuna siku anaiponda CCM na siku nyingine anaiponda CHADEMA. Hivyo ndivyo mchangiaji mzuri anapaswa kuwa: unatafakari jambo na kutoa maoni yako kufuatana na vipi unaona mambo yanapaswa kwenda. Siyo kwa kuwa uko CHADEMA basi kila kitu kinachofanywa na CHADEMA ni kizuri na kila kitu kinachofanywa na CCM ni kibaya. Swali lako limedhihirisha kabisa kwa nini Rais Magufuli analaumiwa kila kukicha. Najiuliza hivi ni kweli hakuna kitu kizuri alichofanya mtu huyu tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita? Swali lako limenipa jibu kwamba analaumiwa kwa kuwa tu yuko chama tofauti na mchangiaji; siyo kwa sababu amefanya kitu kibaya. Tubadilike Watanzania: tukosoe panapokuwa na mabaya na tuunge mkono panapokuwa na mazuri.
Dah... nadhani alimaananisha sangara na sato....Ni samaki pendwa katika nchi tajwa [emoji2960]Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Ungejua Tanzania kuna zaidi ya CCM na CDM swali lako lisingekuwa "dichotomous" na huenda usingetatizika kutambua itikadi ya mtoa mada.Mkuu paskal hivi leo nikuulize mbele ya hadhara ya Jf
Wewe ni mwanaharakati wa ccm au chadema au neutral maana ukija kwa chadema huwa unaponda sana ccm na sera zake,ukija tena chadema huwa unawaponda...
Wewe ni mtu gani?
Mwana siasa mlengwa gani?
Sitaki ku tag mada zako hapa ukinilazim nifungue uzi nitafungua ila hebu tufahamishe hapa mkuu..
Naheshim maoni yako
Mtu anayetoka dar kwenda iringa mbeya akipita dodoma anafika haraka kuliko mtu anayepitia mikumi nadhani umenielewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
TANROADS ni taasisi iliyo chini ya hiyo wizara husikaMagufuli angekuwa kituko cha ajabu kama angemtumbua Waziri Kamwele halafu amuache Mfugale. Na wala sioni ni kwa jinsi gani Mfugale kamwokoa Kamwele. Wanaosimamia ujenzi wa hizi barabara ni TANROADS, sasa waziri angekuwa na kosa gani? Hata kama TANROADS iko chini ya Ujenzi lakini kwa kiasi kikubwa sana inajitegemea. Waajiriwa wake sio wa wizara kwa hiyo hawapo chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Waziri wa Ujenzi
Kilichotokea muda mfupi katika ukaguzi wa rais kwenye kalavati la Kayegeya linalounganisha barabara ya Morogoro na Dodoma ambalo hivi siku za karibuni limekwenda na maji hivyo kupelekea serikali kuagiza kutengenezwa daraja eneo hilo.
Kwa kweli usumbufu kwa wasafiri na wasafarishaji wa mizigo umekuwa ni mkubwa sana ukizingatia hiyo ni barabara kuu inayopitisha abiria na mizigo mingi ya ndani na nje ya nchi kwa majirani zetu kama vile Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi n.k
Leo Mh. Rais Magufuli akipita maeneo hayo amekagua ujenzi unaoendelea hapo wa daraja ambalo nalo lilienda na maji. Rais amekasirishwa sana na maelezo aliyokuwa anapewa na watendaji wake akiwemo Waziri wa ujenzi na uchukuzi ambaye amekiri makosa na kuomba msamaha wa wazi kwa rais.
Kufuatia hali ya watendaji wale wa Wizara na TANROADS kutokuwa na majibu ya kumridhisha rais, binafsi nimemuona rais akitafakari kwa kina kuona ni hatua gani stahiki ambayo angeweza kuchukua dhidi ya watendaji hao.
Ametafakari kwa muda alipokosa cha kuamua ikabidi auze mchezo kwa wananchi waamue nini afanye ambapo wananchi wamesema awasamehe tu, ila mheshimiwa rais ameagiza kusimamishwa kazi wahandisi takribani 13 wa TANROADS na uchunguzi ufanyike dhidi yao.
Kwa muonekano aliokuwa nao rais alitaka kumtumbua waziri na safu ya maofisa wa TANROADS hasa meneja wa mkoa wa Morogoro lakini akaona anaweza kumtumbua waziri na akamuacha CE wa TANROADS ambaye yeye mwenyewe amekiri laivu ni kutokana na kuguswa na kazi zake anazozifanya zinamkosha.
Kwa Leo ni hilo tu limemuokoa Eng. Kamwelwe kutumbuliwa lakini pia tukumbuke mahusiano makubwa yaliyopo kati ya boss huyo wa TANROADS na Rais pasi na shaka ndio yameathiri maamuzi ya mheshimiwa rais hivyo kuishia kutoa onyo kwa Mfugale na Kamwelwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, labda kama hiyo mizigo iwe inatakiwa kufanyiwa jambo fulani mkoani Morogoro, mfano kupungiwa mikono na wakazi wa Msamvu, kusainiwa na wahadhiri wa SUA na Mzumbe n.k