Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

Kuhusu madaraja sina uhakika nani anapaswa kutoa au kupokea ushauri wa kitaalamu kati ya Mfugale au Mh. Waziri mkuu?

Kama tunasema mkubwa hakosei na hakosolewi hapo sawa, kama tunaamua kutumia madaraka ya kisiasa na mamlaka ya kisheria ati ndo yaamue mambo ya kitaaluma hapo sawa.

#Politics versus profesionalism.
 
katika normal republic, alichokifanya Mfugale kinaitwa "insubordination".

chini ya hii gangstaz republic yetu, alichokifanya Mfugale bado google na dictionaries zinaendelea ku search kupata tafsiri yake!
 
Achana na roho ya uchonganishi ni zaid ya uchawi.Ww yanakuhusu nn
 
Achana na roho ya uchonganishi ni zaid ya uchawi.Ww yanakuhusu nn
Spirit ya utumwa wa kimawazo - hayanihusu! Utakuwa unafanya kazi za ndani kwa wahindi na umekata tamaa kabisa ya kutoka hapo ulipo.
 
jana nilisikia na kuona kwenye tv, nikashindwa kuelewa, nikahisi sikusikia vizuri, nikasubiri nikikie vizuri kwa kuongeza sauti sa 5 usiku, bahati mbaya nikapitiwa na usingizi.
 
Nadhani amri ya Waziri Mkuu itafuatwa, sioni kivipi Mfugale anaweza kupuuza amri ya Waziri Mkuu. Ujue Serikali aliye mkubwa wako ni mkubwa tu, akitoa amri sharti litekelezwe au basi wakutane wapeane the best way kufanya utatuzi, lakini pia tukumbuke jamani Mvua hizi ni kubwa sana madaraja yanaweza sombwa na kuvunjwa, juzi tu tumeona Reli ya kati Kilosa huko Morogoro pia imesombwa na maji mengi, so labda pia Waziri Mkuu aone hilo sio kosa sana la Tanroad Meneja wa Moro, labda ni mvua tu zimezidi Mkoa wa Moro.

 
Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi una mambo mengi sana yasiyojulikana mbele ya macho ya watu, kuna kuparurana kwingi sana.
 
TUNAHITAJI WATAALAM WENYE MSIMAMO KAMA MFUGALE. MARA NYINGI HUWA TUNARUDISHWA NYUMA NA MAAMUZI YA WANASIASA
 
Hata madaraja yaliyojadiliwa yamesombwa na mafuriko
 
2025 iwapo Kassim atakuwa Rais ole wake Kassim awe mtu wa visasi yale mashamba na matreka aliyojimilikisha huyu bwana kwa kiburi cha bwana Yohana kwake itakuwa kilio cha kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kutokea Kassım Majaliwa akawa Rais wa JMT. The more you are close to the helm of leadership, the more exposed to political vulnerability you become.

Hata hivyo Majaliwa ana mapungufu makubwa mawili. Kwanza anataka atende kwa kutumia media (TVs na Camera) kama bosi wake. Na anapokuwa amepewa half cooked information na yeye asizifanyie kazı na anakwenda nazo kwenye media, ikigeuka kwake ndiyo anaonekana mbumbumbu. Pili hayuko smart kihivyo. Akipewa tango pori analibeba lilivyo, kumbuka issue ya Faru John na DC wa Kilolo.
 
UNACHUKII ZA KIJINGAAA WE AKIONDOLEWA BABAKO ANAPEWA KAZI PALEEE
MFUGALE NI PROFFESIONAL BR AFANYI.MAMBOO KISIASA KAMA ULIVYOHISII NENDA KAMTOE WEWE. KHA MNAKUFAGA MASISKINI NINYI
 
WEWEEE INAONEKANAAA TANROADS WALIKUPIGAA CHUMA UNA MACHUNGU NA MFUGALEE PAMBANAA NA HALII ZENUU MTAAANII MKOME HAMNA DILI MTAANI UTAISHIA MAJUNGU KF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…