MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Kwenye ujenzi ile concreteNess ndio itaamua zaidi utumie ndoo ngapi/per ndoo hizo 50 to 70 ni za cement ya kupapasa ambapo baada ya muda nyumba zinatoa nyufa. ..ulihitaji uimara wa nyumba tumia 35 as max.Kichwa cha habari kinajieleza.
Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
Mkuu, nahisi kama umekosea. Hii si karibia nyumba nzima kwa ndani?Pia, mfuko Mmoja wa cement unapiga plasta mita square au mita za mraba 162.
mbwiga mwenyeweUmeelewa swali we mbwiga?
Uki calculate gharama za kufyatua na muda utakaopoteza, ni bora ununue tofari kuliko kufyatua mwenyeweKichwa cha habari kinajieleza.
Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
Ungeanza kujibu alichouliza kwanza kisha huu ushauri wako ukawa wa mwisho mkuu!Uki calculate gharama za kufyatua na muda utakaopoteza, ni bora ununue tofari kuliko kufyatua mwenyewe
Unacho bisha Nini? Ni tofari 60 kwa lation 1[emoji777]7Ushawahi kujenga au unazungumzia udongo wenye harufu ya cement
Na motar unachanganya mchanga ndoo ?? za lita 20 kwa mfuko 1Inategemea na size ya motar lakini ni kati ya 60 hadi 70
Hujaelewa swaliNaona kila mtu anatoa, majibu yake. Mimi nipo kwenye field kimsingi mimi natoa tofali 45-48 ila ukizidisha hapo tofali zinakua sio imara. Mchanga unakua mwingi kuliko ratio ya cement, ndio zile tofali zinazopukutika au ukibeba kwenye gari zinavunjika nyingi
Kwa ratio ya 20 yaani ndoo ndogo 20 kwa mfuko, zinajenga tofali 80-90 za kusimama.Kichwa cha habari kinajieleza.
Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
Sio kufyatua tofali,Naona kila mtu anatoa, majibu yake. Mimi nipo kwenye field kimsingi mimi natoa tofali 45-48 ila ukizidisha hapo tofali zinakua sio imara. Mchanga unakua mwingi kuliko ratio ya cement, ndio zile tofali zinazopukutika au ukibeba kwenye gari zinavunjika nyingi
Sio sahihi, chumba cha futi 10 kwa futi 10 tu kinatumia mifuko miwili ya cement ktk plastering na kina surface area ya 30m² ~ 35m². Kiufupi area coverage ya cement ktk plastering inadepend na ratio iliyotumika, mtu aliyetumia ratio ya 1:4 area coverage yake itatofautiana na mtu aliyetumia ratio ya 1:5 etcPia, mfuko Mmoja wa cement unapiga plasta mita square au mita za mraba 162.
Mfuko ni tofali sabini gawa hapo.Nyumba ya tofali 1500 ni mifuko 60
Duh! Zitakua tofali kweli hizo mkuu! Ndio maana nyumba za sshv hazidumu! Fundi kama ww hata ukipewa site yenye cctv camera utaiba tu! Hufai kabisaMfuko ni tofali sabini gawa hapo.
.Ushawahi kujenga au unazungumzia udongo wenye harufu ya cement
Sijui inaweza ukawa unaongelea nadharia lakini kwa vitendo na nyumba hizi za kawaida mfuko average unajenga tofali 70. Kama unafyatua mfuko unatoa tofali 35 hadi 45.Duh! Zitakua tofali kweli hizo mkuu! Ndio maana nyumba za sshv hazidumu! Fundi kama ww hata ukipewa site yenye cctv camera utaiba tu! Hufai kabisa
Mfuko mmoja wa cement huwa unàchanganya na ndoo ndogo ngapi za mchanga?Sijui inaweza ukawa unaongelea nadharia lakini kwa vitendo na nyumba hizi za kawaida mfuko average unajenga tofali 70. Kama unafyatua mfuko unatoa tofali 35 hadi 45.
Pole sana fundi maiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui inaweza ukawa unaongelea nadharia lakini kwa vitendo na nyumba hizi za kawaida mfuko average unajenga tofali 70. Kama unafyatua mfuko unatoa tofali 35 hadi 45.
Asante EnjiniaPole sana fundi maiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]