Mfuko wa bima ni shida

Mfuko wa bima ni shida

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
NHIF mfuko wa Bima, umekuwa kero kubwa kwenye kuzilipa hospitali ili ziweze kujiendesha zenyewe, kutokana na hali mfuko huu una miezi karibu 7 haujazilipa hizi hospitali.

Imekuwa mzigo kwa hospital kujiendesha, watu wanachangia lakini mfuko umekuwa na hali tete hasa kulipa hizi hospital.

Wizara ya afya lifanyieni kazi hilo.

Isije ikawa kero kwa Hospital na wananchi.
 
117195765_3213508722074131_2911542144163865371_n.jpg

nisamehe mleta mada
 
Angalizo, Tunaposhauri huu mfuko una shida nyingi sana unatakiwa uangaliwe kwa makini hatutanii. Umejitaidi kutoka ulipokuwa lakini wasipoangalia huu mfuko utakuja kuwa shida hasa wagonjwa Kama zamani
 
Back
Top Bottom