ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Kumekua na marudio na marejeo ya mtu mmoja kupata bima moja ya afya sehemu mbalimbali, Unakutana na kijana anabima ya NHIF ambayo iko chini ya familia, Kijana huyu huyu anapoingia chuo analipia bima ya NHIF, Kijana huyu huyu anapoanza kazi shirika la serikali analazimishwa kukatwa mafao ya bima ya NHIF.
Huyu kijana hapo anakua analipiwa bima na mzazi ndani ya mfuko mmoja na yeye mwenyewe anakatwa bima na kampuni nyingine ambapo makato hayo yanaenda NHIF.
Hadi hapo kijana anakua na bima 2 za same class na details zake ni zile zile. Hapa mfuko wetu wa bima wa taifa wa NHIF. Bado hauja kaa sawa, Unapaswa uongezewe usimamizi inaonekana ni mahali ambapo serikali au wasimamizi waliopewa dhamana ya kusimamia wanakula pesa za wananchi.