Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Apr 29, 2025 #1 MFUKO WA FAIDA UMEONGEZA WAWEKEZAJI Mfuko wa umekua na kufikia thamani halisi ya shilingi bilioni 36.6 Click to expand... Ni ukuaji wa asilimia 91 ya lengo la shilingi bilioni 40. Click to expand... Wawekezaji wameongezeka kufikia 7,553 kutoka 4,160 Click to expand... Ni ongezeko la asilimia 82 la wawekezaji Click to expand... Mfuko wa Faida ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ulioanzishwa na Watumishi Housing Investment (WHI) ambayo ni Taasisi ya Umma chini ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR MUUUB) Click to expand... Attachments 20250429_132619.jpg 202.2 KB · Views: 42
MFUKO WA FAIDA UMEONGEZA WAWEKEZAJI Mfuko wa umekua na kufikia thamani halisi ya shilingi bilioni 36.6 Click to expand... Ni ukuaji wa asilimia 91 ya lengo la shilingi bilioni 40. Click to expand... Wawekezaji wameongezeka kufikia 7,553 kutoka 4,160 Click to expand... Ni ongezeko la asilimia 82 la wawekezaji Click to expand... Mfuko wa Faida ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ulioanzishwa na Watumishi Housing Investment (WHI) ambayo ni Taasisi ya Umma chini ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR MUUUB) Click to expand...