Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza.

Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale.

Ukinizingua Nakuzingua!
 
Umefilisiwa na Tundu Lissu, Mbowe, Mnyika, Zitto na Heche walipozichota kwenda kujenga Uwanja wa ndege Singida vijiji, Hai, Tarime vijijini na Kigoma vijijini na kununua wabunge wa CCM ili wahamie upinzani.
 
images (24).jpeg
 
Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza.

Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale.

Ukinizingua Nakuzingua!
Magufuli anahusika
 
Ufisadi uliofanyika nchini miaka mitano iliyopita ni zaidi ya ufisadi wote uliofanyika awamu zote combined! Yale makelele na mavitisho ndio mliona ni uongozi? Thubutu; ni mbinu za kuficha uchafu zile!
 
Ujenz wa chato empire umefilisi wengi....pia ukisikia fedha za ndani ndo kama hivyo
 
Wakati Mama anafukunyua aongezewe kaulinzi kidogo, kwa maana bado liko lile Genge linaloongozwa na Bashiru na Polepole.
 
Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza.

Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale.

Ukinizingua Nakuzingua!
Mataga
Mtanyooka tuu
 
Back
Top Bottom