johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja nimshtue mzee Mgaya!Mwendazake alichukua hela zote akaenda kujenga daraja kubwa ukweni/Busisi kwa bilioni 700!
Sasa hivi hata wazee watasubiri miaka 2 ndio waanze kupata pensheni zao.
Umefilisiwa na Tundu Lissu, Mbowe, Mnyika, Zitto na Heche walipozichota kwenda kujenga Uwanja wa ndege Singida vijiji, Hai, Tarime vijijini na Kigoma vijijini na kununua wabunge wa CCM ili wahamie upinzani.Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza.
Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale.
Ukinizingua Nakuzingua!
Mmawia huyo!
Ila bwa shee mbona kama kuna wana kutoka kordo za lumumba ni kama bado akili zimegoma kuupokea utawala wa huyu mama? Tatizo ni nini haswa?Mmawia huyo!
Jo unajivua gamba naona.. Leo umewapumzisha CHADEMA kwenye post zakoPale patachimbika bwashee!
Kama noma na iwe noma.
Mzee Mgaya zama hii atakula mawe, mama kasema pesa za wastaafu huenda makada wamezitafuna.Ngoja nimshtue mzee Mgaya!
Magufuli anahusikaRais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza.
Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale.
Ukinizingua Nakuzingua!
Boya lile zee!Ngoja nimshtue mzee Mgaya!
MatagaRais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza.
Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale.
Ukinizingua Nakuzingua!