Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

Haha na wewe umeumizwa
Umepigwa

Ova
 
Ufisadi uliofanyika nchini miaka mitano iliyopita ni zaidi ya ufisadi wote uliofanyika awamu zote combined! Yale makelele na mavitisho ndio mliona ni uongozi? Thubutu; ni mbinu za kuficha uchafu zile!
Trillion 1.5
 
Unauliza swali au jibu? Kwani hii nchi inaongozwa na Serikali ya chama gani? Hao Wakurugenzi wa hiyo mifuko wanateuliwa na nani? Matumizi ya hizo pesa yanasimamiwa na nani?

Ndiyo maana tunapoichukia ccm, tuna sababu za msingi. Ccm ni mchwa! Ccm ni Fisi! Haishangazi kuona leo wastaafu waliokatwa fedha zao miaka nenda, wakicheleweshewa mafao yao! Walio fiwa na wapendwa wao, wakicheleweshewe mirathi yao! Sababu fedha zimeliwa na Mchwa/Fisi wa Ccm.
 
Yaani huyu jamaa alikuwa anakomba kila sehemu kufanya white elephant projects, kuwanyima watumishi stahiki zao, kufanya redundancy na kuwanyima watu hadi michango yao, kubomoa nyumba za watu na kuwanyima fidia, utaona jamaa alikuwa so insensitive kwa madhira ya wengine.....
 
Ndugu yangu,John,macho yako Yana ona tu psssf na kwanini sii nssf, na iliyokuwa pspf na wengineo je huko Nani kafilisi,kwanini ,na kwafaida ya nani.?
 
Mzee vipi nyama zimeshuka bei?
Umefilisiwa na Tundu Lissu, Mbowe, Mnyika, Zitto na Heche walipozichota kwenda kujenga Uwanja wa ndege Singida vijiji, Hai, Tarime vijijini na Kigoma vijijini na kununua wabunge wa CCM ili wahamie upinzani.
 
Kumbe iliwahi tamkwa hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…