Nimepata nyepesi nyepesi kutoka ndani ule Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya upo katika hati hati ya kufilisika nasikia serikali haipeleki michango yake na imekopa na kukomba pesa ya Mfuko huo:

Nikweli. Siyo NHIF tu, bali mifuko mingi ambayo serikali inachangia au inapaswa ipeleke michango ya watumishi wake. Miradi yenye local counterpart contributions pia haijapata kitu.