Mfuko wa vijana umeanza?

Mfuko wa vijana umeanza?

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Ni ipi taarifa rasmi wana JF?

Wakati wa bunge la bajeti mfuko wa kuwawezesha vijana ulitengewa pesa na kuahidiwa kusambazwa kwa makundi ya vijana wasiopungua 10 kupitia halmashauri.
Majuzi nimesikia na kuona tbc1 wakitangaza kuwa pesa hizo kuwa zimefika katika halmashauri na nilipofuatilia nikabaini kuwa hazijafika.
1. Je, vijana wenzangu mnaujua mfuko huo?
2. Je, mnaelewa masharti na taratibu za kupitia ili kupata mikopo hiyo?
3. Kwanini haijafika mpaka sasa?
4. Je, mnadhani mfuko huu umetangazwa na kuwekwa wazi kwa vijana wengi?
My take: mfuko huu unaweza usitusaidie vijana wakusudiwa kwa taratibu zinauvundo wa urasim na bado hatujahamasishwa kuujua na kuutumia mfuko huu.

Vijana tuchangamkie fursa hii. Na kama huna taarifa za kina fuatilia kwa njia yako.
 
Back
Top Bottom