Analaghaiwa mtoto wa shule wewe, huyo mwanamke mzima mpaka ameolewa unasema analaghaiwa? ni tamaa zake za kushindwa kuridhika na mumewe na huyo jamaa yako amechukua mwanamke ambae si size yake, mke anataka makubwa wakati yeye hawezi kumtimizia, mwambie asubiri ubavu wake, huo amekwapua wa mwenzie
[/COLOR]Huoni kama Kampendezesha ndio jamaa kamuona anafaa? be fair kdiogo da maty
Nata my dia hicho alichompendezesha hakina thamani mbele ya huyo mwanamke, huyo jamaa mwingine amepelekewa tu kidudu akitafune mwanamke akishaolewa halaghaiwi mpenzi ni tabia tu ya huyo mke. Unajua kumpendezesha mwanamke hata si gharama sana ni yeye kujitahidi kuwa msafi na wala si gharama kubwa sana kama watu wanavyofikiri.
Mimi hapa ninakipilipili changu kifupi tu na ninapendeza yaani natumia gharama ndogo sana kupendeza my dia. Huyo mwanamke hafai hata kama unampenda vipi, yeye ndio mwenye makosa na wakati akijijua ana mume na wala halaghaiwi bali ni tamaa zake tu.