Mfumo huu wa umeme utakuongezea faida katika biashara yako

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
MFUMO HUU WA UMEME UTAKUONGEZEA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO

Lengo la mfanya biashara yeyote ni kupata faida,lakini inapo tokea kuna sababu zozote zinakwamisha kufikiwa kwa lengo hilo kunakwamisha maendeleo ya mfanyabiashara mwenyewe pamoja na taifa kwa ujumla.


Kutokana na tatizo la umeme ndani ya nchi yetu,wafanyabiashara wanao hitaji umeme ili kuendesha biashara zao wamekua wakiathirika sana na tatizo la power cut-off.


Kufunga mfumo wa kuvuna umeme wa jua na umeme wa tanesco na kuuhifadhi utakusaidia kujiongezea faida kwani wakati umeme umekatika wewe utaendelea kufanya kazi,kwa kutumia umeme ule ulio uhifadhi.


Kufunga mifumo inayo kupa uhakika wa nguvu ya umeme katika ofisi yako,ni moja ya njia ya kipekee ya kujihakikishia faida katika biashara yako.


Mfumo wa power bank ni moja ya technolojia ambazozimekuwa mkombozi katika kutatua tatizo la umeme kukatika katika na kuwafanya wafanyabiashara wengi kupata hasara.


Mfumo huu unahushisha uvunaji wa umeme kwa njia mbili yaani kuvuna kutoka katika umeme wa taneso na kuvuna kutoka katika umeme jua.


Mfumo huu unafanana na ule wa power back-up tofauti yake ni kuwa inveter ambayo inatumika katika mfumo huu imeongezewa tecnolojia ambayo inaifanya isinyonye umeme mwingi zaidi kutoka katika batteries tofauti na inveter za kawaida!


Wanaoweza kufunga mfumo huu ni wale wote wanao hitaji umeme wa dharura mara pale umeme wa tanesco unapo katika,ili waendele kufanya biashara zao.


Mfumo wa umeme huo unaonekana hivi:-
View attachment 238388


Mahitaji ya mfumo huu yanatofautiana hivyo Kwa maelezo zaidi ya kitaalamu zaidi uliza hapa hapa au piga 0657-115587

Au unaweza kutembelea blog yetu HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…