comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Nani kwaeka mfumo huu wanasema WA kisasa WA shimo la Choo? Nimeona gharama NI nzuri sio kubwa kulinganisha na kuchimba lile la kizamani la kujenga na vipande vya tofali.
Je mfumo huu mpya Una changamoto zipi? Kwa ambao mnatumia mashimo ya aina hii.
Je mfumo huu mpya Una changamoto zipi? Kwa ambao mnatumia mashimo ya aina hii.