nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
wiki moja imepita tangu bunge la katiba lianze kazi yake.lakini kwa tathimin changanuo mwelekeo wa bunge hili sio mzuri kimalengo na madhumuni yake.hii inatokana na mfumo mbovu uliotumika kuteua wajumbe wa bunge hili,asilimia kubwa ni wanasiasa na
kama tunavyojua asilimia kubwa ya wanasiasa wanatanguliza maslahi binafsi na sio maslahi ya jumuiya.
ukijaribu kutazama kwa jicho la tatu ni kama wajumbe wamesahau kazi muhim ya muda mfupi inayohitaji discussion zenye hekima ni sawa na kikundi cha wanajeshi kinachotumwa kupambana kuiokoa nchi.sidhani kama kikundi hicho kabla ya kufanya kazi kilichopangiwa uwa kinadai pesa kwanza.wajumbe hawa kwa kitendo chao cha kuunda kamati kufatilia ongezeko la posho ni cha aibu na kisichokua cha uadirifu.
Kuna exepert wengi ambao tungetengeneza mfumo mzuri wangetumika kutengeneza katiba nzuri na kwa muda mfupi na gharama nafuu.badala yake tunajikuta tunatumia gharama kubwa kuwalipa watu ambao wamepelekwa mle kutetea maslahi ya vyama vya siasa.kiukweli mtu kama paul makonda haitaji akili ya phd kujua anatetea kitu gani ktk katba mpya.
Mfumo mbovu wa kumwachia mtu mmoja ateue majina kulingana na mapendekeze ni ukosefu wa uwazi na uwajibikaji.tunatumia resource za watanzania lkn tunashindwa kuwapatia watanzania kile wanachokiitaji.namwomba Mungu awaepusha watz na hasira kwani wakichukia historia itawahukum wote mliohusika na hili