Habari ndugu zangu. Kwa machozi mengi naandika juu ya Jambo hili,,, Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu. Nia yangu ilikuwa Ni kuendelea katika ngazi ya juu Zaidi ya Elimu, lakini , nimepambana kwa nguvu zote nikaomba mkopo nikakamilisha kila kitu,, suala la AVN NUMBER likafuatia , hakika AVN Ni kirusi kwangu, kila kitu kiligonga mwamba,, baada ya kufuatilia kwa kina , shida ilionekana NECTA wamenidhurumu haki yangu maana nimefanya mtihani wa NECTA, lakini NECTA wamekumbatia haki zetu( hawataki kupeleka taarifa zetu NACTE) , Tafadhali Kama Kuna waliokaribu na NECTA uzi huu uwafikie, wafanye kazi kwa weledi, Kama hawawezi basi watujulishe ili tukasome kozi zingine, [emoji33][emoji33][emoji33], kinachonishangaza ni kwamba chuo Ni Cha Serikali lakini uzembe mtupu,, nimeumia Sana kupoteza gharama Zangu bure kwa uzembe wa watu fulani[emoji21][emoji25][emoji25][emoji25]
Halafu huku analalamikia mfumo wa elimu wakati tatizo analolieleza ni la uzembe na ukiritimba wa watendaji tu. Akikomaa kama ulivyomshauri anaweza kulitatua hili tatizo aisee...Hii ni Mara ya pili unaeleza hili suala humu ndani, Binafsi naona hili suala limekuumiza sana mkuu wangu!!
Kikubwa Nakuomba uende Huko NACTE tu wakomalie haswaaa Hadi kieleweke mkuu huku sijui Kama utapata msaada zaidi!!
Ni mfumo mbovu mkuu maana bora wangeweka njia mbadala ya kujiendeleza kielimu tofauti na ile ya ulazima wa kuwa na AVN.Yaani yote uliyojifunza kwenye hiyo technical education hakuna hata moja linaloweza kukusaidia maishani? Kama jibu ni ndiyo basi elimu yetu (ya technical) kweli ni mbovu. Vinginevyo unachokiongelea ni uzembe tu wa wafanyakazi wa taasisi fulani kwenda nyingine na hakina uhusiano na ubovu wa mfumo wa elimu uliyoipata. Nimekosea?
Pole sanaNi mfumo mbovu mkuu maana bora wangeweka njia mbadala ya kujiendeleza kielimu tofauti na ile ya ulazima wa kuwa na AVN.
Elewa kuwa nimefanya mtihani wa NECTA,, chuo kinahusikaje hapo? Wakati matokeo yangu yapo NECTA!! chuo kinafuata mfumo wa NECTA siyo NACTE.Pole sana
AVN ni bora sana sema ww unashindwa kwenda NACTE zonal office au HQ kulifatilia mguu kwa kichwa, na pia tatizo lipo kwa examination officer wenu wa chuo hakuwasajili NACTE, na kashindwa kutuma taarifa zenu NACTE maana huwa wanazituma chuoni online kwenda kwenye panel ya NACTE
Kumbe kuna diploma inatolewa kwa mtaala wa NECTA ? nilijua ni certificates tu za ualimu grade B sijui A.Elewa kuwa nimefanya mtihani wa NECTA,, chuo kinahusikaje hapo? Wakati matokeo yangu yapo NECTA!! chuo kinafuata mfumo wa NECTA siyo NACTE.
Okay,, ahsanteKumbe kuna diploma inatolewa kwa mtaala wa NECTA ? nilijua ni certificates tu za ualimu grade B sijui A.
Usiwe mbishi kitu ambacho hujui, AVN inatolewa na NACTE na ndo imepewa mamlaka ya kutunza taarifa za kozi zote under diploma, ko ww huwezi kuendelea hadi NECTA yako ipeleke taarifa zako NACTE inatakiwa ukafatilie DSM mikocheni karibu na TBC
Pole sana bossHabari ndugu zangu.
Kwa machozi mengi naandika juu ya jambo hili. Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu.
Nia yangu ilikuwa Ni kuendelea katika ngazi ya juu Zaidi ya Elimu, lakini , nimepambana kwa nguvu zote nikaomba mkopo nikakamilisha kila kitu, suala la AVN NUMBER likafuatia, hakika AVN Ni kirusi kwangu, kila kitu kiligonga mwamba, baada ya kufuatilia kwa kina, shida ilionekana NECTA wamenidhurumu haki yangu maana nimefanya mtihani wa NECTA, lakini NECTA wamekumbatia haki zetu (hawataki kupeleka taarifa zetu NACTE), Tafadhali kama kuna waliokaribu na NECTA uzi huu uwafikie, wafanye kazi kwa weledi.
Kama hawawezi basi watujulishe ili tukasome kozi zingine, kinachonishangaza ni kwamba chuo Ni Cha Serikali lakini uzembe mtupu nimeumia sana kupoteza gharama zangu bure kwa uzembe wa watu fulani
Usiwe mbishi kijana elewa unacho ambiwa,Elewa kuwa nimefanya mtihani wa NECTA,, chuo kinahusikaje hapo? Wakati matokeo yangu yapo NECTA!! chuo kinafuata mfumo wa NECTA siyo NACTE.