buhange JF-Expert Member Joined Oct 23, 2011 Posts 505 Reaction score 110 Nov 4, 2011 #1 Aiseeeeeh! ifikie sehemu waajiliwa wa vyuo vikuu hasa ktk LOAN OFFICES muwe punctual na kazi. Hivi kuna ugumu gani kufanya analysis ya huyu shilingi ngapi! Huyu ngapi! Then una-release majina. Aiseeeeh!
Aiseeeeeh! ifikie sehemu waajiliwa wa vyuo vikuu hasa ktk LOAN OFFICES muwe punctual na kazi. Hivi kuna ugumu gani kufanya analysis ya huyu shilingi ngapi! Huyu ngapi! Then una-release majina. Aiseeeeh!