Mfumo mpya wa AMAZON unaruhusu kutengeneza/kuchapisha vitabu na kuviuza

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Deleted
 
Attachments

  • IMG-20220919-WA0059.jpg
    IMG-20220919-WA0059.jpg
    53.7 KB · Views: 60
  • IMG_20220920_164634.jpg
    IMG_20220920_164634.jpg
    28.1 KB · Views: 60
Je, unajua kwamba kuna mfumo mpya wa amazon unaoturuhusu kutengeneza na kuchapisha vitabu AMAZON na kuviuza?

Hii Inafanya kazi kwa

Wahitimu
Wafanyakazi 9- 5
Wanafunzi
Wanawake wa Nyumbani
Joobless wote mtaani
Hata watoto pia wanaweza kutengeza vitabu vya watoto wakaviuza

La msingi uweze kujua kiingereza, kusoma na kuandika na kuweza kutumia Smartphone yako au laptop kama unayo.
Ikiwa wanaweza kufanya hivyo, basi unaweza kufanya vizuri zaidi.

Inaitwa AMAZON KINDLE DIRECT PUBLISHING (AMAZON KDP). Hii ni aina ya biashara mtandaoni ambapo unapata pesa kwa kuchapisha, kutengeza au ku design vitabu na ku vi upload Amazon.

View attachment 2362751

Ukiwa na UTAYARI wa kujifunza na kutekeleza yale utakayofundishwa basi ni rahisi sana kuweza kuijua hii inavyofanya kazi.

Sina laptop......? Simu inatosha
Sijui kuandika....... Hakuna shida
Mimi si gwiji wa kompyuta...... Hakuna tatizo,

Hahitaji pesa yoyote
Kumbuka ni (UNATENGENEZA KITABU CHAKO UNAKIWEKA AMAZON, SOKO KUBWA NI [emoji631] Marekani KITANUNULIWA HELA ITAINGIA KWENYE ACCOUNT YAKO)

Hii ipo zamani tangu amazon ianzishwe, watumiaji wa kompyuta pekee ndio wanaopata pesa kutoka kwa amazon.

Lakini kwa sasa WATUMIAJI WA SMARTPHONE wanaweza kutengeneza vitabu AMAZON.

Unachohitaji ni...

Simu
Mb zako

Cha kufanya
Nenda popote pale hata youtube, Google, kuna kozi coursera, ujifunze vitu vifuatavyo

Jifunze jinsi ya kutengeneza vitabu na kuviuza ukitumia Amazon KDP... Hata kama hujui kuandika.

Jifunze namna ya ku design vitabu na cover za vitabu kwa kutumia canva

Jifunze namna ya kutumia canva

Kuna sehemu nyingi ambazo unaweza ku download vitabu ambavyo vimeshatengenezwa na kuviuza moja kwa moja AMAZON

Njia nyepesi, tafuta wataalamu au watu ambao wanafanya hii wakusaidie

Kuna videos nyingi YouTube zinafundisha.
Ila na mimi pia natoa mwongozo wa kujiunga, kutengeneza vitabu, na tools muhimu za kutumia
Nicheki kwa whatsap namba
+255693880325

Vitabu vinavyouzwa sana Amazon
Notebook, journals, vitabu vya watoto, vitabu vya kichora, mapenzi, vitabu vinavyohusu wanawake, vitabu vya zawadi,

Huhitaji kuwa mwandishi kutengeneza vitabu.

Elimu hii ni kubwa ila naomba niishie hapa
View attachment 2362746
Jambo jema kuujulisha umma kaka. Mimi nilisha tumia mfumo huu na kufanikiwa ku upload kitabu kimoja kinaitwa Back to life "beat the NCDs" ila kwa suala la sales ndo bado maana sijafanya promo yeyote mpaka sasa. Ila kdp ni nzuri na ipo siku kuna mtu atapiga hela nyingi ad waseme anafuga nyoka mkubwa ndani.
 
kitabu changu ni kidogo tu, kurasa kama 121 na kinahusu magonjwa yasiyo ambukizwa yani Non Communicable Diseases ambayo yanaongoza kwa kuua watu duniani. Unaweza google hata jina la mwanishi 'Ernest Mabogo" kukiona kitabu....au hata kununua kabisa🙂🙂🙂
 
Ili kupata hela inatakiwa vitabu vingi hasa vya low content.

Ila kuna baadhi ya mbinu za kucheza na keywords za search engines utauza sana
 
kitabu changu ni kidogo tu, kurasa kama 121 na kinahusu magonjwa yasiyo ambukizwa yani Non Communicable Diseases ambayo yanaongoza kwa kuua watu duniani. Unaweza google hata jina la mwanishi 'Ernest Mabogo" kukiona kitabu....au hata kununua kabisa🙂🙂🙂
Naweza kukupa mwongozo mpaka ukaweza kukiuza kule Amazon na kama wewe ni mpenzi wa kuandika kule ndo sehemu sahihi kuuza vitabu vyako bila kupiga hata promo
 
Jambo jema kuujulisha umma kaka. Mimi nilisha tumia mfumo huu na kufanikiwa ku upload kitabu kimoja kinaitwa Back to life "beat the NCDs" ila kwa suala la sales ndo bado maana sijafanya promo yeyote mpaka sasa. Ila kdp ni nzuri na ipo siku kuna mtu atapiga hela nyingi ad waseme anafuga nyoka mkubwa ndani.
ningependa kujua unajiungaje na kindle?
 
Naweza kukupa mwongozo mpaka ukaweza kukiuza kule Amazon na kama wewe ni mpenzi wa kuandika kule ndo sehemu sahihi kuuza vitabu vyako bila kupiga hata promo
Bro safi sana naomba kujua namna ya kupata maokoto yako. Benk ipi ni nzuri kwa hapo amazon kupata pesa yako kutokea mteja wako wa huko usa hadi wewe mwandishi uliopo Tanzania.
 
Hopefully PayPal ni rahisi
 
Back
Top Bottom