Mfumo mpya wa AMAZON unaruhusu kutengeneza/kuchapisha vitabu na kuviuza

Jambo jema kuujulisha umma kaka. Mimi nilisha tumia mfumo huu na kufanikiwa ku upload kitabu kimoja kinaitwa Back to life "beat the NCDs" ila kwa suala la sales ndo bado maana sijafanya promo yeyote mpaka sasa. Ila kdp ni nzuri na ipo siku kuna mtu atapiga hela nyingi ad waseme anafuga nyoka mkubwa ndani.
 
kitabu changu ni kidogo tu, kurasa kama 121 na kinahusu magonjwa yasiyo ambukizwa yani Non Communicable Diseases ambayo yanaongoza kwa kuua watu duniani. Unaweza google hata jina la mwanishi 'Ernest Mabogo" kukiona kitabu....au hata kununua kabisaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Ili kupata hela inatakiwa vitabu vingi hasa vya low content.

Ila kuna baadhi ya mbinu za kucheza na keywords za search engines utauza sana
 
Naweza kukupa mwongozo mpaka ukaweza kukiuza kule Amazon na kama wewe ni mpenzi wa kuandika kule ndo sehemu sahihi kuuza vitabu vyako bila kupiga hata promo
 
ningependa kujua unajiungaje na kindle?
 
Naweza kukupa mwongozo mpaka ukaweza kukiuza kule Amazon na kama wewe ni mpenzi wa kuandika kule ndo sehemu sahihi kuuza vitabu vyako bila kupiga hata promo
Bro safi sana naomba kujua namna ya kupata maokoto yako. Benk ipi ni nzuri kwa hapo amazon kupata pesa yako kutokea mteja wako wa huko usa hadi wewe mwandishi uliopo Tanzania.
 
Bro safi sana naomba kujua namna ya kupata maokoto yako. Benk ipi ni nzuri kwa hapo amazon kupata pesa yako kutokea mteja wako wa huko usa hadi wewe mwandishi uliopo Tanzania.
Hopefully PayPal ni rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…