Kuna kipindi serikali yetu sikivu walitangaza kuwa elimu ya sekondari olevel itaunganishwa na primary na kuwa miaka 9 then mtu anaenda direct advance. Mpango huo ulifia wapi?
Kuna kipindi serikali yetu sikivu walitangaza kuwa elimu ya sekondari olevel itaunganishwa na primary na kuwa miaka 9 then mtu anaenda direct advance. Mpango huo ulifia wapi?
hili ni wazo nisilokubaliana nao alafu nakumbuka kama ni zaidi ya miaka hii, huwezi kumuweka mtu darasani miaka tisa ndo ahitimu, labda waanze darasa la kwanza na miaka minne ama mitano ili wamalize form six na miaka 15 ama 16 ili miaka 17 waanze kusoma degree na wamalize degree wakiwa na miaka ishirini na iwezeshe watu wa masters wapatikane wakiwa na miaka 22 ama 23. kama huko ulaya mtu at 23 ana masters tayari.
lakini pia hiyo elimu ya msingi itumie lugha ya kiingereza na tukiue kiswahili chote na wakiamua kutumia kiswahili ndio watakuwa wanaimalizia kuiua na kuizika elimu ya Tanzania maana mtoto anaingia form five akiwa hajui chochote kuhusu kiingereza na muda wa miaka miwili hauwezi kusaidia chochote kwenye kujijenga kwenye lugha na kitakuwa kilio ambacho hakijawahi kutokea.
kwa mawazo yangu ya haraka haraka kitu hicho hakiwezekani na ni hatari zaidi kama viongozi waliokosa maono na uwezo wa kufikiri wakiamua kuleta mapendekezo haya.
ninayo mengi sana ya kuchallenge mpango huu HATARI ILA NGOJA NIISHIE HAPA KWA KUWA UMEKUFA ILA UKITAKA KULETWA NITAFANYA UCHAMBUZI MAKINI KUONYESHA HATARI YAKE NA KWAMBA HAUFAI HATA KIDOGO.
NAHITAJI MABADILIKO YA MFUMO MPYA WA ELIMU KUANZIA CHINI HADI JUU LAKINI SI MFUMO HUU WA AJABU