Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Habari wakuu.
Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october
Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa, africa na hata majilani ndani ya east africa kuwa uchaguzi haufanyiki tanzania kwa haki, isipokuwa ni ccm hujiamulia kujitangazia haki ya kuongoza tu. Wakati mwingine inakuwa aibu zaidi maana jimbo lina watu 12000 ila matokeo ya kura jumla ya waliopiga kura wanaonekana ni 19000. Nashauri kutumika kwa mfumo huu ufuatatao.
Moja: miongoni mwa taarifa zinazotumika katika kuboresha daftari la wapiga kura ni alama za vidole na alama hii huhifadhiwa kwenye satabase. .
Baada ya kuboresha daftari la wapiga kura database huhifadhiwa ambayo hutumiwa badae kwenye kutick huyu amepiga kura huyu bado ili kuzuia kujirudia kwa kura.
Mbili wanaotumiwa zaidi kuendesha uchaguzi ni walimu wa shule za sekondari na msingi. Lakini hawa wote wamepewa tablets
Tatu: kuna POS machines kama zile za kusajilia laini, nbc wakala au za traffic au wale wakusanya ushuru wa magari ambapo zina fingerprint
Nashauri serikali, tume ya uchaguzi na watu wengine kama taasisi, n. K kutumia hizi pos mashines au tablets za walimu au kutengeneza pos mashine mpya na kuziwekea app moja tu ya kupiga kula ambapo italishwa database hiyo na mpiga kura atatakiwa kuweka kidole chake na kuchagua chama anachotaka na automatically mfumo huo utamtambua fulani amepiga kura upande fulani. Lkn monoitoring hii itarahisisha kujua matokeo kwa haraka ndani ya dakika 1 kwan kura zitarusha live live kwenye tv, simu youtube au kwwnye website za serikali kama waliopiga kura ni million 12 akapiga mwingine 1 counter itaonesha hyo m1 kampigia ccm, chadema, nccr au cuf n. K
Yaani ni rahisi kudhibiti kujirudia kwa kupiga kura, pia rahisi kuendeleza mchakato wa kupiga kura ikiwa hata kuna tatizo kwwnye kituo n rahisi kuwambia uchaguzi umestopishwa tutaendelea kwsho na kesho hiyo wale waliopiga jana hawaweza kupiga bali ambao hawajawahi kupiga wataendelea.
Lakini sioni ulazima wa mpiga kura wa mwanza aliye dsm arudi mwanza alikojiandikishia inaamaana huyu anaweza kupiga kura hata akiwa singida kwenye safari yake ya kuelekea rwanda au burundi kwa kusimamisha gari kupiga kura na kuendelea na safari.
Naamini mfumo wa kupiga kura kielectronic na digital ni bora zaidi lakini mifumo ya kielectronic itaonesha live broadcasting uelekeo fulani anaelekea kushinda au fulani kura hazikutosha.
Zaidi dunia imeendelea sana hatuwezi kutumia mifumo ya kielekronic kama GEPG, VEHICLE BILLING SYSTEM, TRA, BRELA, TIN NUMBER, NECTA ONLINE, TCU NA HESLB n. K halafu tukashindwa kwenda NEC hapa tu tutakuwa hatuko serious hata na zoezi lenyewe la uchaguzi n bora kusema hakuna uchaguzi fulani ndio anaongoza tu
Wazo la 2
Ikiwa hyo itakuwa complex kwa elimu yetu bongo basi itumilke njia ile ile ya zamani lakini kura za kila kituo zitangazwe hapo hapo kituoni na badae zikusanywe zitangazwe kwa wakati mmoja na tume iliyohuru ya uchaguzi.
Ila mimo nashauri njia ya kielectronic ni bora zaidi
Nawasilisha hoja