Mfumo mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya nani ameuelewa?

ZVI ZAMIR

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
921
Reaction score
2,163
Habari ya asubuhi wakuu naomba kujuzwa juu ya huu mfumo mpya unatumika UEFA champions league. Maana nimejaribu kufuatilia naona kama kuna utaratibu mpya umetambulishwa sijui kama walianza msimu ulioisha au ndo wameanza msimu huu.

Kwa yeyote anaeulewa tafadhali na atujuze. Ahsanteni
 
Utaratibu ulivyokaa ni kuwa:
1. Timu shiriki ni 36
2. Kila timu itacheza mechi nane na timu nane tofauti.
3. Kila timu itacheza mechi nne nyumbani na nne ugenini.
4. Timu nane za juu zitafuzu hatua ya 16 Bora.
5. Timu zitakazoshika nafasi ya 9-24, zitapangwa kucheza mtoano nyumbani na ugenini. Timu zitakazoshinda hapa zitaingia 16 Bora kucheza na zile nane za awali.
6. Zitakazoshinda hatua ya 16, zitaingia robo na kundelea.

Wajuzi watatusaidia zaidi.
 
Ahsante
 
Iko hivi team zinazoshiriki zimeongezwa kutoka 32 Hadi 36 na hakuna tena ule mfumo wa makundi . Kila team itacheza michezo 8 na wapinzani tofauti kati ya hao 36 .Minne nyumbani na Minne ugenini na kufanya msimamo kama wa ligi . Team zitakazoshika nafasi ya kwanza Hadi 8 zitafuzu moja kwa moja kwenda hatua ya 16 bora , team ya 9 Hadi ya 24 zitacheza hatua ya mtoano ili kupata tena team 8 ambazo zitaungana na zile ambazo zimeshika nafasi 8 za juu kucheza hatua ya 16 bora . Team nane ambazo zimefungwa ktk mchezo wa mtoano zitaungana na zile team kuanzia 25 Hadi wa 36 kufungasha virago vyao kuelekea makwao . Hakuna tena mambo ya kutoa Champion league ukaenda Europa.
 
Wapinzani wanapatikanaje ili kujua nani anacheza na nani!
 
"kuanzia 25 Hadi wa 36 kufungasha virago vyao kuelekea makwao".

Hii imenifurahisha sana. Hakuna mambo ya kufeli huku nijaribu huku.umetoka nenda kajipange upya msimu ujao [emoji2]
 
Utaratibu ulivyokaa ni kuwa:
1. Timu shiriki ni 36
2. Kila timu itacheza mechi nane na timu nane tofauti.
3. Kila timu itacheza mechi nne nyumbani na nne ugenini.
4. Timu nane za juu zitafuzu hatua ya 16 Bora.
5. Timu zitakazoshika nafasi ya 9-24, zitapangwa kucheza mtoano nyumbani na ugenini. Timu zitakazoshinda hapa zitaingia 16 Bora kucheza na zile nane za awali.
6. Zitakazoshinda hatua ya 16, zitaingia robo na kundelea.

Wajuzi watatusaidia zaidi.
Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom