Mfumo mpya wa Manunuzi ukiacha TANePS

MalumeNdago

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
17
Reaction score
19
Mnamo mwaka jana 2022, Serikali ilitangaza maboresho ya mfumo wake wa manunuzi.

Je, tayari wameshatangaza mfumo mpya utakuwaje na utaitwaje na kupatikana vipi?

Naomba msaada.
 
Tanzania Electronic Procurement System (TaNEPS), umeshindwa ku-deliver au ni mipango mjini? Mtujuze.
 
Tanzania Electronic Procurement System (TaNEPS), umeshindwa ku-deliver au ni mipango mjini? Mtujuze.
wanadai TaNEPS haipo secured sana kwakua inaruhusu Unauthorized people pia kufanya manunuzi, ila hii Nest wanadai itakua specific Mgavi fulan kafanya manunuzi haya na haya na taarifa zake zote. Pia itakuwa na mfumo wa kuwa na wazabuni maalumu watakao kuwa recognised na serikali
 
Mbona hakuna maandalizi yoyote so far?
 
mifumo kama mifumo na bado mtajua hamjui, kuna na wale jamaa wa kuitwa GIPSA, hatari sana, nchi hii kama imerogwa vile , tunahitaji mkoloni mwingine ili akili zitukae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…