Mfumo mpya wa ujenzi...Phamacy / Clinic

Raphenry

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
17
Reaction score
4
Kwa wale wauguzi au wenye taasisi mbalimbali zinazo saidia watu mbali mbali katika sehemu za mbali. Wanauwezo wa kutumia Clinic hii katika shughuli zao kwa maana ina hamishika na pia ina kidhi mahitaji yote.

Tazama video fupi na upate idea ya ninachokiongelea. Una uwezo wa kuipata ndani ya siku 15 hadi 20 ukiwa muhitaji. Namba ya simu iko kwenye video hio

Mkuu inavutia lakini sidhani kama hiyo uliyoonyesha hapo itakidhi vigezo vya majengo vinavyohitajika kwa ajili ya Pharmacy na hizo Clinic unazosema....unless sijakuelewa kabisa. Na unaposema inahamishika unamaana ya mobile pharmacy/clinic au vipi?
 
Kama umeskiliza video vizuri ni kwamba vigezo vyote tunavipata kutoka kwako wewe mteja wetu. unasema unachokihitaji sisi ni wajenzi tu. tunachukua idea yko na kuifanyia kazi. na upande wa kuhamishika ndio mobile clinic hio. unaweza ukaipeleka popote pale. Nashukuru. kwa mawasiliano zaidi chukua namba yangu kwenye hio video tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…