B Boko halal Senior Member Joined May 14, 2014 Posts 175 Reaction score 124 May 29, 2014 #1 Watumishi wa umma ambao walikuwa waajiriwa serikalini wakaacha na kwenda kusomea ualimu wamekosa mishahara yao mwezi huu baada ya system kuwatema.
Watumishi wa umma ambao walikuwa waajiriwa serikalini wakaacha na kwenda kusomea ualimu wamekosa mishahara yao mwezi huu baada ya system kuwatema.
M Manselly JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 456 Reaction score 130 May 29, 2014 #2 cjaelewa hata kidogo wamaanisha nn duh
B Boko halal Senior Member Joined May 14, 2014 Posts 175 Reaction score 124 May 30, 2014 Thread starter #3 Manselly said: cjaelewa hata kidogo wamaanisha nn duh Click to expand... rudia kusoma.
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,933 Reaction score 2,439 May 30, 2014 #4 Shida sana members wengine wanaleta humu anh!
T Theodore Bagwell JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 940 Reaction score 225 May 30, 2014 #5 Manselly said: cjaelewa hata kidogo wamaanisha nn duh Click to expand... Anamaanisha kuwa kuna watu walikuwa wameajiriwa sekta zingine hapo kabla, wakaacha na kwenda kusomea Ualimu. Sasa mfumo wa malipo umewatema.
Manselly said: cjaelewa hata kidogo wamaanisha nn duh Click to expand... Anamaanisha kuwa kuna watu walikuwa wameajiriwa sekta zingine hapo kabla, wakaacha na kwenda kusomea Ualimu. Sasa mfumo wa malipo umewatema.
N nkyagila Member Joined Sep 4, 2013 Posts 36 Reaction score 3 May 30, 2014 #6 Sasa kama wameacha mshahara watapaje?
H Haludzedzele JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,468 Reaction score 530 May 30, 2014 #7 hayatuhusu