Mamshungulii
Senior Member
- May 3, 2023
- 175
- 88
Milongo zaidi ya 2 imepita tangu maono ya Tanzania tunayoyatumia hadi leo kupita. Kama watu walijaribu kuitabiria Tanzania ingekuwaje mwaka 2023, ingawa walidhani kuwa mengine wamekosea na pengine walitabiri bila matumaini, na ingawa walibashiri mielekeo mingi iliyo sawa. Nini kinatokea nchi kubwa zinapopitia ukuaji wa haraka na mabadiliko ya kijamii na kiuchumi na uchumi wao kuyumba ?
Watu binafsi, jumuiya, makampuni na serikali, katika tabaka zake tatu , lakini sio kukwepa kutoka kwenye maeneo ambayo uwepo wa serikali una muhimu.
Sera nyingi za serikali ya ustawi wa Tanzania zimezingatia upatikanaji wa elimu kwa wote, huduma za kiafya, nishati nakadhalika, hii imechangiwa zaidi na ushirikishwaji wa kifedha, nyumba za watu wa kipato cha chini, ulinzi wa maisha ya vijijini na programu za kukuza ujuzi.
Mtazamo wa sera umepitia mabadiliko makubwa kufuatia kupitishwa kwa mazoea ya digitali, uhamishaji wa faida za moja kwa moja na kufikia uchumi wa kiwango katika utekelezaji wa programu za maendeleo.
Uundaji wa sera za sekta ya kijamii nchini Tanzania ni zoezi tata linalohusisha idadi ya wizara zaidi ya moja , serikali za mitaa na wadau wengine kadhaa wa maendeleo. pia ni wazi kuwa sera za sekta ya kijamii za Tanzania zinagusa maisha ya mamilioni ya watu
Taifa limepiga hatua kubwa katika huduma za afya kwa wakati, na ubunifu kadhaa umefanywa katika elimu na maendeleo vijijini.Mengi yameandikwa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika miaka ya hivi karibuni. Maandishi haya yanatoa maelezo ya dhahiri na ya kina ya uzoefu wa msimamizi katika utekelezaji wa mazoea ya kidijitali, kuboresha mifumo ya utoaji haki na kutambua changamoto kwa watumishi wa umma katika karne ya 21 Tanzania. “KUJITOLEA KWA MANUFAA YA UMMA KWA NAMNA YOYOTE ILE BORA, KUNADHIHIRISHA MAADILI YA MTUMISHI BORA WA UMMA”.
Uandishi huu usio na upendeleo/chuki yoyote, utawawezesha wasomaji kufanya uamuzi wa kufahamu na uhuru wa kuchakatua wenyewe. Kila mtu anayependa mazungumzo ya maendeleo ya taifa, bila kujali asili au kiwango cha utaalamu, atafaidika kwa kusoma hii.
Kulelewa na serikali tangu kuzaliwa hospitalini na kusomea serikalini na kufanya kazi kwenye taasisi zisizo za kiserkali ila zimesajiliwa na serikali ,sionii Maisha yoyote nje ya serikali.Nimemuona Baba yangu akifanya kazi kwa miaka yote kuuondoa umasikini kwa moyo wa hali ya juu na kujitoa kulikokithiri serikalini..Kulelewa na watu waliofanya kazi serikalini na ambao hawajawahi kufanya kazi serikalini kumenifunza uchapakazi, kujitolea ,kujituma na uzalendo kwa nchi hii.
Nimekuwa nikiambiwa ‘hakuna kinachokuja kwa urahisi katika haya Maisha,masaa kwa masaa ya kazi ya uaminifu yanahitajika. ili kuendeleza utawala bora wa Tanzania. Nimekuwa na imani kubwa na sera nzuri nyingi za serikali zilizobadilisha maisha yangu.
Serikali ya Tanzania huzingatia na kuhakikisha kuwa Taifa linakuwa na utawala bora unaozingatia misingi ya Utu ,haki, demokrasia ,uwajibikaji ,uwazi ,tija ,ufanisi ,usawa na ushirikishwaji wa makundi yote ili kutoa huduma bora kwa wananchi
YAFUATAYO TANZANIA IMEFANYA KUPITIA UTAWALA BORA
• Kuhakikisha kuwa madaraka kwa umma yanabaki kuwa ndio msingi wa utawala katika nchi,hii ni kutokea kwa chaguzi 2 za kata 17 zillizofanyika ambapozaidi ya wananchi 70,000 walishiriki kkikamilifu kuchagua viongozi wao.
• Kuimarisha taasisi za utawala bora ,maadili na uwajibikaji kama vile Ofisi ya Mdhibitii na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali ,sekretareti ya maadili ya viongozi katika utumishi wa umma,TAKUKURU,Tume ya Hakii za binadamu na utawala bora,na mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya ili ziweze kutimiza wajibu ipasavyo .Serikali imefanikisha kutoa mafunzo kwa zaidi ya watumishi 1250 wa taasisii hizo.Mafunzo hayoo yalikuwa katika ngazi ya msingi ,kati na uongozi.
• Kuimarisha ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa mipango na shughuli za serikali ,Serikalli imefanya zoezi la kuhakiki na kuangalia halli ya utayari wa mataasisi na ufuatiliaji wa tathmini.Na upo mwongozo wa mfumo wa ufuatiliaji na Tathmini ikiwemo mifumo ya Data.
• Serikali hufanya ziara mbalimbali ,kupitia ziara za viongozi serikali imeendelea kuhimiza nidhamu ,uadilifu na uwajibikaji kwa watumishi wa ummana wafanyakazi wengine .Aidha mara nyingi katika ziara hizo ,taasisi zimehimzwa uzingatiwaji wa sheria , kanuni na uwajibikaji .
• Serikali ilidhibiti migongano ya kimaslahi katika shughuli za umma kwa kusimamia mifumo iliyopo ambapo kupitia sekretarieti ya maadili ambapo ulifanyika uhakiki wa Tamko la Rasilimali na madeni kwa viongozi 425 na kubaini viongozi 36 walibainika kuwa na mgongano wa kmaslahina waliwajibishwa.
• Serikali imesimamia nidhamu ,uadillifu ,uwazi ,uzalendo wa kitaifa ,moyo wa kujitolea na uwajibikaji miongoni mwa viongozi wa watumishi wa umma ,pia imefanya mafunzo kwa watumishi wa umma kuhusu mfumo wa kielektroniki wa E-MREJESHO kwa maafisa malalamiko zaidi ya 880 pamoja na kufanya uhamasishaji wa maadili kwa watumishi wa umma zaidi ya 5628 kutoka katika taasisi 78.
• Kujenga jamii inayoheshimu utu, haki ,maadili na nidhamu ,serikali inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu haki za binadamu hasa zinazogusa makundi maalumu pamoja a kupinga vitendo vya ukatili na udhalilishaji.
• Maboresho ya sheria ya upambanaji wa rushwa yanayoendelea yataleta tija hasa katika ukusanyaji wa mapato ,ujenzi wa miradi ya maendeleo, ubadhirifu wa fedha za umma na rushwa katika maeneo ya kutolea huduma ,kwa mfano Ofisi ya Taifa ya mashitaka imeendesha na kusimamia kesi zaidi ya 1,150 mahakamani pia TAKUKURU ilifanyia mashauri zaidi ya 1,450 ya tuhuma za rushwa ambapo jitihada kubwa huwekwa kwa kushughulikia malalamiko ya wananchi
• Serikali ya Tanzania imejitahidi kuheshimu na kuzingatia mifumo ya kulinda haki za binadamu ,kwa mtu mmojammoja ,makundi na jamii kwa ujumla. Serikali imetoa elimu kuhusu ukatili na utawala bora kwa wananchi na watumishi wa serikali ,hivyo kupelekea kupungua kwa matukio ya uvunjifu wa haki za binadamukwa asilimia 60 na kupelekea kuimarika kwa juhudi za kutokomeza ukatili.
• Serikali imeruhusu rasmi lugha aushi ya kiswahili kuwa lugha ya uandishi wa sheria,uendeshaji wa shughul za mahakama ,mabaraza na vyombo vingine vyenye jukumu la kutoa haki hapa nchini ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na uelewa zaidi wa masuala ya haki.
• Kupitia kuweka mazingira wezeshi ya haki kwwa wananchi kushiriki katka dhughuli mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa, Serikali iliwapatia elimu ya uraia viongozi wa vyama vya sasa, Aidha Rais Hassan aliunda kikosi kazi ambapo vyama vya siasa 18 vimetoa maoni na mapendekezo ya rasimu ya kanuni ya kuratibu mikutano ya hadara ya vyama vya siasa.
Mambo yote yametokea kwa mashirikiano ya sekta mbalimbali, kwa dhati na nia moja.

Upvote
1