Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Unatangazia wapi hyo nia, wakati huruhusiwi kupita jimboni wala kwa wajumbe, ww subiri siku ya kuchukus fomu tu kachukue halafu rudisha subiri kuteuliwa ,hTangaza nia acha kulilialia
JahaahahaTangaza nia acha kulilialia
hawana cha kupoteza hata wakibaki walewale!Wabunge waliopo madarakani wanapita wanakutana na wajumbe wapiga kura wanagawa fedha, matishirt n.k. lakini watu wengine wanaotaka kuomba kuteuliwa nafasi hiyo ni marafuku . kwa mtindo huo ni vigumu kupata sura mpya zitakazo ingia madarakani.
Hivi chama hakioni utaratibu huo unawapendelea wanasiasa waliopo madarakani, wao wanapita wanakutana na wapiga kura ,wengine ni marafuku ukipita TAKUKURU wanakukamata. Huu uwekewe mbinu nzuri usionekane kupendelea wanasiasa waliopo