Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Makundi yapo 6, kila kundi timu 4
Baada ya michezo ya makundi, timu 2 toka kila kundi zitaqualify.. pamoja na timu 4 bora zilizo shika nafasi ya 3 numla zitakua timu 16.
Timu 16 zitacheza matoano, kisha robo fainali hadi fainali.
Kwa hiyo Tanzania lazima ijipange kuwa bora kwa kila hatua.
Kocha ni vizuri akawangalia serengeti boys pia.