Mfumo wa AFCON 2019.. 16 bora tunaweza ingia.

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Makundi yapo 6, kila kundi timu 4

Baada ya michezo ya makundi, timu 2 toka kila kundi zitaqualify.. pamoja na timu 4 bora zilizo shika nafasi ya 3 numla zitakua timu 16.

Timu 16 zitacheza matoano, kisha robo fainali hadi fainali.

Kwa hiyo Tanzania lazima ijipange kuwa bora kwa kila hatua.

Kocha ni vizuri akawangalia serengeti boys pia.
 
Amunike asije akarudia yale ya kule Lesotho maana itatugharimu.
 
Hapo Kwenye ubest losser ndo tuvizie,tukamkomalie Kenya atupe points tatu,kwingine hatatukila za uso ila yasiwe magoli mengi 2-1,3-2,4-2 5-3,si mbaya sana
 
Mkuu.. Binafsi sijaelewa kabisa, maana nimezoea kama World Cup inaweza kuwa na team 32..
Makundi yanaweza kuwa 8 kwa timu nnenne, kwa maana baada ya mzunguko team 2 toka kila group zitaqualify 16... Hvyo inaenda hadi robo fainali then fainali yenyewe..
Sasa hz tim 24.. Zkichuliwa timu mbilimbili kila group zitakuwa 12.. Ambapo hazina distribution inayoeleweka... Na kama kuongeza wale washind wa tatu kutoka kila kundi.. Basi washind watakuwa 6.. Maana ni makundi 6 hayo.. Ambapo jumla ya team zitakuwa 18... Bado hakuna distribution inayoeleweka
 
Best losers ni 4 tu.
 
Piga ua senegal na algeria tutatoka droo. Tunakua na point 2. Kenya tunampiga kimoja tunatoka na point 5.. Taifa star oyeee.

Ila tukipeleka serengeti boys.. tunaongoza group.
Hapo Kwenye ubest losser ndo tuvizie,tukamkomalie Kenya atupe points tatu,kwingine hatatukila za uso ila yasiwe magoli mengi 2-1,3-2,4-2 5-3,si mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumfunge kenya na tujitahidi kupata droo kwa senegal au algeria au tufungwe magol machache tuingie kama best loser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…