MFUMO WA ELIMU TANZANIA !!! Je waliopata ZERO wanaenda wapi???

MFUMO WA ELIMU TANZANIA !!! Je waliopata ZERO wanaenda wapi???

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
Kutokana na mfumo duni wa elimu na ubabaishaji wa mitaala kwa elimu ya tanzania ndio chanzo cha matokeo mabaya.
WATAHINIWA 2012 wengi wao wamepata div 0.je serikali ina mpango gani?? Zaid ya watahini 200,000 wafeli,Je tutarajie nini miaka mitatu minne mbeleni kama si ujambazi!!
Watahini 23000 (6%) wafaulu.kuna shule zaidi ya 300 za advnc,swali je shule zitakidhi matakwa ya kupata wanafunz zaidi ya 50??
2015 watahini hawa watafanya mtihani kidato cha 6.je watakao faulu watakidhi tena matakwa ya vyuo vikuu 2livyo navyo??
NI HAYO 2 MENGI YAPO ILA 60% ya walio feli WANAENDA WAPI??
 
Bwanae masuala ya elimu tanzania hakuna kiongozi wa juu asiye jua, siku wakiamua taifa letu tusome tutasoma , kwa sasa hakuna mabadiliko yoyote hakunaaa! . Mpaka waamue maana wanajua wanachokifanya , utaona bungeni kama hili litajadiliwa hakuna kuajadiliwa maana kanuni zipo kwapani kwake mtumishi wa taifa habari ndio hiyo !!!!!
kutokana na mfumo duni wa elimu na ubabaishaji wa mitaala kwa elimu ya tanzania ndio chanzo cha matokeo mabaya.
Watahiniwa 2012 wengi wao wamepata div 0.je serikali ina mpango gani?? Zaid ya watahini 200,000 wafeli,je tutarajie nini miaka mitatu minne mbeleni kama si ujambazi!!
Watahini 23000 (6%) wafaulu.kuna shule zaidi ya 300 za advnc,swali je shule zitakidhi matakwa ya kupata wanafunz zaidi ya 50??
2015 watahini hawa watafanya mtihani kidato cha 6.je watakao faulu watakidhi tena matakwa ya vyuo vikuu 2livyo navyo??
Ni hayo 2 mengi yapo ila 60% ya walio feli wanaenda wapi??
 
Ngoja 2one kama wata imarisha elimu japo hali ni tete
 
hawa inabidi wakaanze form one tena!,
hakuna pa kuwapeleka maana hakuna kielelezo chochote cha kuonyesha kwamba amehitim kidato cha nne!
 
Back
Top Bottom