hudyrawaaah
Member
- Nov 13, 2021
- 12
- 10
Daktar anapoingia chumba chenye wagonjwa tofauti tofauti halafu wote akawapa dawa ya malaria hii inamana kuwa watakao pona ni wenye malaria tu wengine atakuwa hajawasaidia.
Hicho ndio kinacho tokea shuleni kwa sababu Tiba inayotolewa inalenga kuwa tibu wanafunzi wenye logical na linguistic intelligence tu sisi wenye vipaji tofauti lazima tuonekane hatuna akili kitu ambacho sio kweli