Mfumo wa elimu wa Kenya

Hamna lolote zaidi ya kubadilisha majina tu, kwa ground Wanafunzi wwnakaa chini, Hakuna vyoo mashuleni, maslahi duni ya walimu, hamna maabara za chemistry, biology, physics, ICT, hamna libraries, hamna mfumo mzuri wa elementary school,

Yaani hiyo ni project ya mafisadi ya Kenya kutafuna pesa za slum dwellers and hunger stricken majority, unaweza kuta kubadili tu hilo jina ni billion 200 kama BBI
 
Living in denial won't save your ass. The fact that many global companies have chosen Kenya as their regional or continental hq says something about our education system - well trained personnel. This the epitome of any education system in the world
 
Tungekuwa hatuna hizo vitu zote umetaja katiko shule na vyo vyetu, then how come we rank ahead of you in human capital, quality of education and human resources? Nyinyi ambao mko na "kila kitu" mnakwama wapi?
 
Its based on memorization. You read and memorize the entire chapter and regurgitate to others what you've read, however, you are NOT learning anything as you are just a tool of memorization, much like a smart vacuum cleaner. You are programmed to clean certain areas only.
 
Tungekuwa hatuna hizo vitu zote umetaja katiko shule na vyo vyetu, then how come we rank ahead of you in human capital, quality of education and human resources? Nyinyi ambao mko na "kila kitu" mnakwama wapi?
Kusoma tu hamjui, wapi mtatupita kwenye elimu?

Walimu wenyewe hamna kabisa

Kusoma tu hamjui, wapi mtatupita kwenye elimu?

View attachment 1660425

Walimu wenyewe hamna kabisa

View attachment 1660427
Hizi figures umetoa wapi? From a blog? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Check below what the World Bank says about quality of education between Kenya and Tanzania. We are way ahead of you bongolalalas

Kenya data

Tanzania data

And then World Economic Forum states that Kenya has the strongest education system in Africa
 
Bado tumewapita kwa mbali kichizi data zenu ni za 2018, zetu 2015 lakini bado tumewapiga kitu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bado tumewapita kwa mbali kichizi data zenu ni za 2018, zetu 2015 lakini bado tumewapiga kitu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwa hivyo leo 78 ni nyingi kushinda 82?
And then World Economic Forum pia ni waongo leo? πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kusoma tu hamjui, wapi mtatupita kwenye elimu?

View attachment 1660425

Walimu wenyewe hamna kabisa

View attachment 1660427
85 ndio 78 siku hizi? Mtataga 🀣
Hata kwenye swala la pupil-teacher ratio in primary schools, World Bank bado wanasema tuko mbele yenu by far. Number mtazidi kusoma japo hampendi πŸ˜‚ πŸ˜‚

Angalia data za Kenya vs za Tanzania kwenye hiyo link hapo juu kisha urudi na zile links zako za blogs πŸ˜‚
 
Hivi unajua kusoma statistics wewe? Mnazidi kuingia kuzimu halafu unashangilia 🀣 kweli elimu yenu hovyo
 
Living in denial won't save your ass. The fact that many global companies have chosen Kenya as their regional or continental hq says something about our education system - well trained personnel. This the epitome of any education system in the world
And that's the fact!
 
Hivi unajua kusoma statistics wewe? Mnazidi kuingia kuzimu halafu unashangilia 🀣 kweli elimu yenu hovyo View attachment 1660798
Wewe unayejua kusoma statistics tuambie inamaanisha nini Kenya kuwa na value ya 31 in pupil-teacher ratio huku Tanzania ikiwa na value ya 51
 
And that's the fact!
Hawa mibongolala hufikiria kwamba it's only by accident that many global companies and even UN bodies are choosing Kenya as their regional or continental headquarter. What they don't know is that what attracts them to Kenya before anything else is the availability of trained professionals.
 
Sasa hiki nini ukiulizwa? Ni madebe ya mahindi au mafungu ya furu?
Ni kwamba mko na value ya 78 when it comes to literacy levels according to World Bank. How hard is it to understand that? Ama hupendi kuona ukweli kuhusu nchi yako?
 
Living in denial won't save your ass. The fact that many global companies have chosen Kenya as their regional or continental hq says something about our education system - well trained personnel. This the epitome of any education system in the world
Those multinationals are looking for coons, ready to kiss ass, they will never go to countries that stand their grounds.
 
Have your holiday FREEPASS, wherever you're in KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ by SIMBA COACH, The Pride Of Travellers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…