Mfumo wa elimu wa Kenya




Hiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
 
Kuandika tu hujui Sasa huyo mtoto sijui anakuja kupanda magari ya Simba au kusoma?
 
Kuandika tu hujui Sasa huyo mtoto sijui anakuja kupanda magari ya Simba au kusoma?
Wewe ni HOHE HAHE tu! Au kwa jina lingine ni MLALA HOI!

Hiyo pesa ya kupeleka mtoto KENYA kwenda kusoma utaitoa wapi?

Tafuta mtaji hata wa kulima VITUNGUU! Labda huko ndio utatoboa 😁😁

Au kapige ramli kwa USTADHI MAJINI, akupe pete ya kufanya biashara πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…