dahasingh Suleysh
New Member
- Jun 10, 2024
- 2
- 2
Elimu ya Tanzania imekuwa chanzo moja wapo cha kuua vipaji vya watoto ambavyo walikuwa navyo tangu wakiwa wadogo. Kwa mfano mtoto mwenye ndoto ndoto ya kuwa rubani ana haja gani ya kusoma historia ya vita vya kwanza ya dunia.
Hii ndiyo hupelekea watoto kuishia kusoma vitu ambavyo havipo kwenye mipango yao ya akili.
Kuelekea kuijenge Tanzania ya kesho yenye maendeleo makubwa na mabadiliko makubwa, serikali ya Tanzania iweke mikakati madhubuti katika nyanja za elimu ili kuweza kukuza ndoto za watoto ili wawe wazalishaji wazuri katika nchi.
Mikakati ambayo inatakiwa kuwekwa ni kwamba serikali iunde mfumo wa elimu ambapo watoto watatengenezewa misingi ya ndoto zao tangu akiwa mtoto mpaka anapokuwa mkubwa. Kitendo cha mtoto kusoma masomo 10 ambapo hayana maana kwenye ndoto zake ni kupoteza muda na kupoteza kipaji cha mtoto huyo kwani atakuwa anatumia nguvu nyingi kusoma masomo ambayo ya kumuendeleza kwenye kipaji chake mwisho wa siku kupelekea kupata ufaulu ambao siyo hata kwenye masomo ya kukamilisha ndoto zake.
Kwa Mfano mtoto anapokuwa na ndoto ya kuwa muuguzi kumsomesha masomo ya sanaa ni kumuongezea mizigo kwani mwisho wa siku atahitajika kuwa na ufaulu kwenye masomo ya sayansi ili kufikia ndoto zake, ambapo kama angesoma masomo ya sayansi na akayatilia mkazo masomo hayo angefika mbali kwani atasoma kwa moyo na kwa kujituma kwa sababu anasoma kuiendea ndoto yake.
Hivyo serikali iandae mikakati ya kubadili mfumo wa elimu ili kuweza kuiandaa Tanzania mpya yenye maendeleo, wakishirikiana na wazazi ambao wenyewe ndio chachu ya kufichua vipaji vya watoto wao, nyumbani na mashuleni.
Kwa kufanya hivyo naiona Tanzania hii miaka 5-20 ijayo itakuwa zaidi ya Marekani.

Upvote
2