Mfumo wa elimu yetu ni majanga

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
328
African Education system has surprising outcomes. The smartest students pass with 1st Class and get admissions to medical and engineering schools. The 2nd Class students get MBAs and LLB’s to manage the First Class students. The 3rd Class students enter politics, and rule both 1st and 2nd Class students. The Failures join underworld and control politicians and businesses. And best of all, those who did not attend any school, become prophets, and everybody follows them!!
 

Mkuu hii summary ni babu K.. facts tupu! Sasa sitoshangaa tena kusikia kauli za "Mafisadi wananguvu nyingi sana na wakishughulikiwa nchi haitatawalika milele"... " List ya wauza Sembe ninayo..."... "Tukiwataja wauza Sembe humu Bungeni hakuna atakaebaki... Shukran sana Mkuu... If possible hii ipeleke Jukwaa la Siasa linaweza pata wachangiaji wengi zaidi, kwani huu ni ukweli mchungu hususan hapa kwetu Tanzania...
 
Ni hatari sana mkuu
 
Babuu! Acha kukariri maisha!! Basi kama ndo hivyo waache watu kusoma kusoma wakawe mapophets!!
Be wise, think twice! Jerk!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…