Government electronic Payment Gatewaymkuu naomba unisaidie maana au kirefu cha GePG
Kweli kabisa, sipendagi umbumbumbu me nataka niwe awareness na vitu vingi kichwani ndo sofa ya Intelligent.Government electronic Payment Gateway
Meza hiyo ukatambie wenzio kama mimi
Zamani kulikuwa na njia kadhaaKwan zaman ilikuaje
Aisee!Lisu atauboresha zaidi
Akiwa UbeligijiLisu atauboresha zaidi
Oho nashukuru mkuuZamani kulikuwa na njia kadhaa
1. Cash - Yaani unalipa dirishani, kitu ambacho kilikuwa na rushwa sana.
2. Mifumo mingine kama Max malipo, benki, tigopesa na kadhalika - Hela ilikuwa inaenda kwa wakala kwanza kabla ya kwenda serikalini, sasa hivi hawa wote wameunganishwa na GePG, hela inaenda serikalini moja kwa moja.
Ndiyo maana utagundua sasa hivi hata ukitumia tigopesa kwa malipo ya serikali, hau katwi hela ya kutumia.
da nimecheka sana ila huu mfumo umetia njaa sana halmashauri manake hela ya serikali inaingia hadi saa kumi usikuLisu atauboresha zaidi
We jamaa mbayaGovernment electronic Payment Gateway
Meza hiyo ukatambie wenzio kama mimi
JPM Kwa upande huo apewe heko zake sema tu wanadamu hatuna jema.Huu mfumo ni mzuri kwa kweli yaani serikali inakusanya we hebu fikiri ile 500/= tunayolipa kwa Loss Report kwa nchi nzima inapitia humo,zamani zilikuwa zinapigwa tuu hapo ndio ninapomvulia kofia JPM jamaa kichwa
Inabidi uwanja wa ndege waweke utaratibu huu, maana wafanyakazi wa tra wanajiamulia wanachotaka.Zamani kulikuwa na njia kadhaa
1. Cash - Yaani unalipa dirishani, kitu ambacho kilikuwa na rushwa sana...