We mfumo huu ulianza kufanyiwa kazi enzi za jk Magufuri amekuta kila kitu tayariHuu mfumo ni mzuri kwa kweli yaani serikali inakusanya we hebu fikiri ile 500/= tunayolipa kwa Loss Report kwa nchi nzima inapitia humo,zamani zilikuwa zinapigwa tuu hapo ndio ninapomvulia kofia JPM jamaa kichwa
Hapana sio yeye umeanza kufanyiwa kazi enzi za jkMagufuli ndiye aliyeleta hii kitu
Ok basi kuna vitu wameongeza maana ulikuwa haujulikani sana,ila kipindi cha JPM ndio umejulikana sana.We mfumo huu ulianza kufanyiwa kazi enzi za jk Magufuri amekuta kila kitu tayari
Kwa wapigaji wanalia kweli na huu mfumo,mhasibu anacheza na bank slip tuu haa haada nimecheka sana ila huu mfumo umetia njaa sana halmashauri manake hela ya serikali inaingia hadi saa kumi usiku
akiwa CHATOAkiwa kwao singida
[emoji3]
πππππLisu atauboresha zaidi
John n mpwa wake ndio wamemwambia aseme hivyo,wastaafu wanasumbuliwa balaa hela hamna john kazichukuaMfumo wa Kukusanya Maduhuli wa Serikali. Mwaka wa fedha 2015/2016 Kabla ya mfumo huo serikali ilikusanya Bilioni 699.
Mwaka wa fedha 2019/2020 Umeeiningizia Serikali shilingi Trilioni 2.699. Ikiwa ni ongezeko la Asilimia 292%
PAKUA APP
GePG Tanzania - Apps on Google Play
/Chanzo Katibu mkuu WFM Dotto James
MatokeoChanyA+