kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Jukwaa la Taasisi na Mamlaka zinazosimamia na Kudhibiti Ubora wa Elimu Tanzania, zimeanzisha mfumo mpya wa kipimo cha gharama kwa kila mwanafunzi nchini utakaoanza kutumika mwaka ujao wa masomo.
Mfumo huo utawawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu na vile vishiriki, kulipa ada kuwa moja kulingana kozi husika kwa nchi nzima kwa vile vya binafsi na serikali.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo huo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, alisema kuwa mfumo huo utasaidia kupunguza kero na malalamiko kwa wanafunzi na wazazi kwani unaweka usawa kwa vyuo vyote.
CHANZO: NIPASHE