JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
ππ€£πWacha wakome, huo mfumo hata ungeibiwa ni sawa tu, kupata hitlafu hakutoshi... Wakamba hawa wangese.
Mama si bado yuko huko ama? Labda ndo maana umeme umekatika πtanzania tumeshatoka huko kitambo
chini ya mama yetu mpendwa
nafikiri ndugu ...uzuri huyu mama anatupigania bila kukata tamaa yeye anazidi kuwacha wanyonge na tabasamu bila kujali porojoMama si bado yuko huko ama?
Hali ni mbaya sasa. Bado kuna Hidaya anakuja leo au kesho sijui? Tutanyooka na haya mabadiliko ya tabia nchi.Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.
Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.
WametuigaMamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.
Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.
Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.